IsangulaKG
JF-Expert Member
- Oct 14, 2010
- 706
- 386
Kamata zako tano kamanda. Kuna kila dalili ya mimi kurudi tena dar, uhondo kama huu ntasimulia nini kwa mungu nkifa mieeeeeeeeee!
nilikimbia hesabu sijakuelewa.
Haha ntakuelewesha subir tulunch antivirus kichwan mwako
ka vip tumia kinega ant virus coz ni ant virus yaukweli inayoweza scan ubongo wangu
ok kijana
fabolous< mabaga imean fabo is less than mabaga.
Sugu>Ruge mean sugu is greater than ruge.
Wafu fm^4=antivirus/100 mean wafu fm ni sehem ndogo sana ya antivirus. Next time mwl wa hesabu akija usidodge.
Kamanda Mbowe naye ndani ya Nyumba.Sugu ndo anamalizia,mi nasepa zangu home Kupumzika.
Kumbe kulikuwa na mpango wa kugawa mashabiki! Maana naangalia timing za 'events'.
wanaangalia kwenye mashabiki wengiYan walikuwa wanakabana kuoneshana umwamba. Na nani atawin mashabiki wengi.
huku barcelona 0 getafe 1
Duh!! Kajilalie tu. Ndicho kilichowapeleka bungeni hikiKamanda Mbowe naye ndani ya Nyumba.Sugu ndo anamalizia,mi nasepa zangu home Kupumzika.
thanks figganigga na Rejia na wengine kwa updates.....[/QUOTE
]
Ni kweli bila ya wao tusingejua lolote