chimulenga
Senior Member
- Jun 28, 2023
- 174
- 360
Mapenz yatawaua vijana sana mtu akisha sema hakutak achana nae mimi nilishaambiwa furaha anayo ipata kutoka mpenz Wake mpya hawez ipata kwa MTU yeyote nikajibu sawa nikasepa zangu nakula maisha naenjoy tu sinaga mudaCheki mende hii.
Kitu kinachotakiwa kukutesa mwanaume ni njaa tu.