Nakadori JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 8,779 Reaction score 21,053 Jul 4, 2012 #1 Habari zenu wananchi, Nimeona niwasalimie na pia niwaombe mnikumbuke katika maombi kwani nitakuwa safarini. Asanteni sana
Habari zenu wananchi, Nimeona niwasalimie na pia niwaombe mnikumbuke katika maombi kwani nitakuwa safarini. Asanteni sana
sweetlady JF-Expert Member Joined Dec 24, 2010 Posts 16,967 Reaction score 8,498 Jul 4, 2012 #2 Bwana akutangulie uwe na safari njema
Madame B JF-Expert Member Joined Apr 9, 2012 Posts 31,841 Reaction score 37,579 Jul 4, 2012 #3 Nakadori said: Habari zenu wananchi, Nimeona niwasalimie na pia niwaombe mnikumbuke katika maombi kwani nitakuwa safarini. Asanteni sana Click to expand... Unaenda wapi? Huitaji Company?
Nakadori said: Habari zenu wananchi, Nimeona niwasalimie na pia niwaombe mnikumbuke katika maombi kwani nitakuwa safarini. Asanteni sana Click to expand... Unaenda wapi? Huitaji Company?