Yamootto Band Fans Special Thread

Yamootto Band Fans Special Thread

mimikaye

Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
88
Reaction score
48
Yamoto band beibe;

Leo jamani nataka niwaongelee hawa madogo, big up mkubwa fella. Nimetoka kusikiliza nyimbo zao hapa naweza sema hivi, hawa ni tishio jipya kwa tasnia ya mziki Tanzania. Kwanza wanaimba live kitu ambacho wasaniii wenu wanakiogopa, Pili they are still hungry and ready to get it.

Haya wasanii wengi akiwemo Diamond wanaogopa kufanya mziki live, na ni kitu ambacho kimuziki kinaleta utata kidogo.
 
Back
Top Bottom