Well said, absolutely ukweli kwa 100%.Katika uzi huu, inafaa kabla hujachangia unadeclare interest kwanza kama wewe ni mpangaji ama mwenye nyumba. Mleta uzi bila shaka ni mpangaji kwa kadri alivyoandika maana kwa malipo ya Ufipa mpaka ujenge nyumba itachukua miaka 50
CCM tuko kimaslahi zaidi mwezi mmoja najenga nyumba ya 200m.
Deal as usual.
Labda tukirudi kwenye mada kuu ni kwamba atakayeumia ni mpangaji tu kwa sababu serikali haina nyumba za kutosheleza wapangaji kiasi kwamba kila mwenye nyumba afuate bei elekezi.
Nyumba hiyo hapo nzuri ina vigezo vyote bei kiasi kadhaa hutaki basi acha.
By any means mpangaji atalipa tu hata kwa kificho kwa sababu yeye ndiyo mwenye shida.
Sukari watu tunaitafuta hata kwa buku 6 na tukiipata tunapigania unaongea nini wewe.
Serikali inatakiwa kujipanga haswa, ndani ya miaka 25-30 iliyopita serikali ilikuwa imelala