Yametimia: Wenye nyumba sasa kulipa kodi

Yametimia: Wenye nyumba sasa kulipa kodi

Haya magazeti na title za kishabiki bana, yaani mtanzania wanaandika 'wenye nyumba sasa KUISOMA NAMBA' na yale ya udaku yaandikeje sasa?
 
Katika uzi huu, inafaa kabla hujachangia unadeclare interest kwanza kama wewe ni mpangaji ama mwenye nyumba. Mleta uzi bila shaka ni mpangaji kwa kadri alivyoandika maana kwa malipo ya Ufipa mpaka ujenge nyumba itachukua miaka 50
There you go again....badala ya kuchangia mada ni ushabiki wa kitoto wa Lumumba vs Ufipa.. kama wewe ni mtoto basi sikulaumu, ila kama ni mtu mzima basi Watanzania tuna kazi sana
 
Tafuta gazeti la Mtanzania usome.
Sasa wewe umeleta uzi kwa kichwa cha habari, no research no right to speak....hii mada ipo incomplete, huyu atakuwa kaamka saa 11 alfajili kumkimbia mwenyenyumba, lipa kodi uishi kwa amani
 
Dawa ni kuweka bei elekezi kuzuia kukurupuka kwa bei zao wenye nyumba
 
Mapato ya bandarini hayatoshi kuendesha hii nchi? Wafanya kazi hewa hzo hela zinaenda wapi hadi waje kuchukua hela kwenye nyumba za wapagaji?
 
Katika uzi huu, inafaa kabla hujachangia unadeclare interest kwanza kama wewe ni mpangaji ama mwenye nyumba. Mleta uzi bila shaka ni mpangaji kwa kadri alivyoandika maana kwa malipo ya Ufipa mpaka ujenge nyumba itachukua miaka 50
Wewe utakuwa una laana. Kwa nini kuharibu mjadala muhimu kama huu unaogusa watu wengi na wenye manufaa pia kwa nchi?
Mambo ya ufipa ya nini hapa? Lazima una laana wewe!
 
Wewe utakuwa una laana. Kwa nini kuharibu mjadala muhimu kama huu unaogusa watu wengi na wenye manufaa pia kwa nchi?
Mambo ya ufipa ya nini hapa? Lazima una laana wewe!
Achana na huyo mtu ni zero brain!
 
Hii ni kodi ya mapato ya pango

kodi ya pango ni halali kisheria kuwepo.
ni chanzo kipya cha mapato.

zipo changamoto zitakazojitokeza kama ukosefu wa elimu ya mikataba, majengo kujengwa maeneo si rasmi,udanganyifu nk.

Sio shida atakaeumia zaidi ni mpangaji

Hivyo viwango elakezi utaona vitakavyowaumiza wapangaji kama sukari...

hamna namna.
siku zote mabadiliko yanaleta maendeleo na changamoto.
 
Kodi ya nyumba iliojengwa kwenye makazi yasio rasmi? Baada ya mtoza ushuru kuneemeka unagizwa ubomoe mwenyewe kwani hukuwa na kibari cha kujenga, uko kwenye mkondo wa maji, eneo hewa, kupisha barabara, nk.
Naona kwa mbaali tunaisoma namba kama simu feki walifaidi kodi leo hii walaji tunapigwa stop.....
 
Sasa wewe umeleta uzi kwa kichwa cha habari, no research no right to speak....hii mada ipo incomplete, huyu atakuwa kaamka saa 11 alfajili kumkimbia mwenyenyumba, lipa kodi uishi kwa amani
Kama ni hivyo basi magazeti yasisomwe kwenye tv wala kwenye vituo vya redio.

Tumia akili.Lengo ni kujulisha watu ni nini kimeripotiwa na kama kuna habari imekuvutia ni jukumu lako kutafuta gazeti husika au kuli-search mtandaoni.

Acha kuishi kijima!!
 
Sasa unadhani shida itakuwa kwa mwenye nyumba ama mpangaji? Bei elekezi haijawahi kuzaa matunda nchini hivyo sihitaji kufikiri juu ya hilo!
hapa namba inasomwa na wapangaji, mwenye nyumba anakwambia nipe laki mbili net, TRA utawalipa ww mwenyewe
 
Kama ni hivyo basi magazeti yasisomwe kwenye tv wala kwenye vituo vya redio.

Tumia akili.Lengo ni kujulisha watu ni nini kimeripotiwa na kama kuna habari imekuvutia ni jukumu lako kutafuta gazeti husika au kuli-search mtandaoni.

Acha kuishi kijima!!
Mjima nani!! Kama hela ya kununua gazeti imekushinda utaweza kulipa kodi....chumba cha giza cha sh 10,000 kina kushinda kazi kumkimbia mwenyenyumba
 
Katika uzi huu, inafaa kabla hujachangia unadeclare interest kwanza kama wewe ni mpangaji ama mwenye nyumba. Mleta uzi bila shaka ni mpangaji kwa kadri alivyoandika maana kwa malipo ya Ufipa mpaka ujenge nyumba itachukua miaka 50

Ahsante. Mungu akutazame!
 
Nyumba zipi. Kuna surveyed kama za masaki na mbezi beach zenye hati na building permit, kuna unsurveyed kama zile za manzese na vingunguti. Kuna za mabondeni kama zile za jangwani, kuna zilizo hifadhi ya Barbara zinazosubiri kuvunjwa. Kuna zilizo mita sitini kutoka mito. Naiona changamoto kwa serikali iliyokuwa inabeza makazi yasiyo rasmi na mengine kuyabomoa leo hii kuyategemea kwa kodi
UMEONGEA POINT SANA MKUU
 
Hapa bora kuhamia kwenye hile nyumba ya urithi hizi za kupanga ishakua balaa bora tukalipie za urithi najua utakua unalipia makazi yako nyumba ya kupanga by by
 
Kuna vitu tunashabikia lakini hatujui kama mpangaji ndio ataumia zaidi na zaidi,turudi kwenye VAT ya kumbi za harusi sisi ndio tunaumia! Bei ipo pale pale na VAT juu yake! Sio bei ya zamani na VAT ya mwenye nyumba ! Hatujui tunataka nini kwenye suala nyumba na wapangaji wake! Bei elekezi inatokana na standard ya nyumba au nini kigezo? Tunasubiri hiyo bill sina uhakika kama imekutanisha na wadau wote! Isije kuwa wamejifungia boardroom na assume! Tusubiri
 
Back
Top Bottom