Yametimia: Wenye nyumba sasa kulipa kodi

Yametimia: Wenye nyumba sasa kulipa kodi

Sijui serikali huwa inapitia maoni yetu humu JF au vipi ila habari kuu katika gazeti la Mtanzania inasomeka: "Muswaada wa fedha,wenye nyumba sasa kuisoma namba" .

Mtangazaji wa Channel 10 alikuwa anasoma magazeti amesoma kidokezo cha habari kuwa wenye nyumba sasa watatakiwa kutozwa kodi kutoka kwenye zile kodi wapangaji wanazolipa.

Chanzo:Mtanzania

Hata hivyo,kama wengine tulivyowahi kushauri hapa mtandaoni wakati tunapendekeza kodi hii ianzishwe,tulipendekeza pia serikali iweke kodi elekezi ambapo wenye nyumba watapaswa kuifuta maana bila hivyo,wapangaji ndio wataisoma namba.

Tusubiri hiyo finance bill iwasilishwe Bungeni na zaidi tusubiri kama wabunge wataipitisha maana hii kodi bila shaka hata wao itawagusa.
Mimi naunga mkono hoja.
Nimeona kuna maeneo hapa mjini kwetu kukodi banda la biashara ni 250,000/= mpaka 300,000/= tena unalipa mkupuo kwa mwaka, yaani million 3 mpaka 3.6millions halafu Mtu Ana milango miwili mpaka kumi. Kwa nini asilipe kodi hapo
 
Wacha porojo wewe.

Muathirika atakuwa mwenye nyumba au mpangaji?

Nipo kijijini siku nyingi sana. Nnawashangaa wanaokimbilia mijini wakati maisha mazuri na yenye maana yapo vijijini.

Nimezaliwa jijini, nimekulia jijini, nimeishi majiji mbalimbali duniani lakini baada ya kuamua kurudi kijijini nikajuta kwanini nimechelewa.
wanaopata redundancy ndo hukimbilia vijijin maana hawana nyimbo tena za kuimba jijini
 
Katika uzi huu, inafaa kabla hujachangia unadeclare interest kwanza kama wewe ni mpangaji ama mwenye nyumba. Mleta uzi bila shaka ni mpangaji kwa kadri alivyoandika maana kwa malipo ya Ufipa mpaka ujenge nyumba itachukua miaka 50
Ufipa wameanza kulipa lini....mbona humu ndani huwa wanakutaja sana wewe ni miongon mwa buku 7..... jiengueee upishe uchunguzi kabla hujanyoshea wengine vdole
 
Mimi naunga mkono hoja.
Nimeona kuna maeneo hapa mjini kwetu kukodi banda la biashara ni 250,000/= mpaka 300,000/= tena unalipa mkupuo kwa mwaka, yaani million 3 mpaka 3.6millions halafu Mtu Ana milango miwili mpaka kumi. Kwa nini asilipe kodi hapo
Watu wengi hili wanalifahamu lakini wanapuuza tu!
 
Ufipa wameanza kulipa lini....mbona humu ndani huwa wanakutaja sana wewe ni miongon mwa buku 7..... jiengueee upishe uchunguzi kabla hujanyoshea wengine vdole
ina maana wewe unafanyishwa kazi bila malipo? Basi umeliwa. Wenzako kila post buku. Ndio mana wanakomaa kuweka post nyingi ili kuongeza mapato. Malipo ni kila siku jioni.
 
Mbona hiyo kodi ipo siku nyingi tu,withholding tax 10% of total annual rent sema kwa ma land lord wengi haitozwi kwa kuwa wanapokea rent on cash lakini zile rent zinazolipwa kwa hundi non cash huwa zinatozwa kodi
 
Back
Top Bottom