Yametimia, ndege ya ATCL, Dash8-Q400 angani

Yametimia, ndege ya ATCL, Dash8-Q400 angani

Ndege ya ATCL angani..Ikipasua anga na mawingu kwa ajili ya Test Flight.Sasa ni tayari kwa safari ya kuja nyumbani.

Alama ya Twiga wetu inaenda kuruka na kutambaa ktk milima na mabonde ya Tanzania.Tunarudi tena ktk anga la Tanzania.Nia ya dhati iliyotumika kulifufua shirika hili,itumike pia kutuweka Watanzania kama wamoja,kwa chuki na uhasama wa "kuminywa demokrasia",turudishwe na tuwe wamoja.

Tunaenda hatua kwa hatua,kwa ile kanuni yetu ya "JF be the first to know"...,Welcome back home
The Wings of the Kilimanjaro
View attachment 390071
Nonsense
 
Wajipange kweli kwenye soko la kibiashara,ila fast jet atawasumbua sana wakubali ama wakatae
 
Big Up Mh JPM kwa juhudi za kipekee katika hili. Naamini hizi zitaendelea kuongezeka na kuzalisha nyingine. Wananchi nasi tujikite kufanya hizi ndege ndio first choice yetu iwapo tunasafiri maeneo ambayo zina destinations.
 
Rubani na ndege yenyewe haina muda wa kukunja matairi, ni mwendokasi kwa kwenda mbele- Tumechelewa kweli kweli. Inawahi kuja kuwatumikia wadanganyika na kama alivyosema waziri itatua viwanja vyote nchini. Ndege wakijifanya wendawazimu, mapangaboi yanapata mboga.

Maujanja ya kaka Kagame hayo!
Hahahahahahaha... Mbona tutaona vituko vingi..
 
Ndege ya ATCL angani..Ikipasua anga na mawingu kwa ajili ya Test Flight.Sasa ni tayari kwa safari ya kuja nyumbani.

Alama ya Twiga wetu inaenda kuruka na kutambaa ktk milima na mabonde ya Tanzania.Tunarudi tena ktk anga la Tanzania.Nia ya dhati iliyotumika kulifufua shirika hili,itumike pia kutuweka Watanzania kama wamoja,kwa chuki na uhasama wa "kuminywa demokrasia",turudishwe na tuwe wamoja.

Tunaenda hatua kwa hatua,kwa ile kanuni yetu ya "JF be the first to know"...,Welcome back home
The Wings of the Kilimanjaro
View attachment 390071
Watanzania kwa kweli something is seriously wrong with us. I don't see why kuwe na ushabiki wa ununuzi wa ndege ambayo Labda hata mtu 1 Kati ya 100 ya watanzania hawana uwezo wa kulipia gharama za kupanda hii ndege wakati hosipitali hazina dawa na sababu ni hakuna pesa. Mimi ninaona hili la ndege limewekwa kwenye priority ya juu kuliko demand. Zingenunuliwa CT kwa kila hosipitali za mikoa na kuweka dawa katika hosipitali zote Hilo lingegusa watanzania wengi. Wachache wenye hela Yao ya kupanda ndege wangeendelea kupanda fastjet na nyingine zilizopo.
 
Mbona inapaa bila kukunja tairi?
Mkuu hii ni "Test Flight",kawaida ndege inapokuwa kwenye "Test Flight" haiingizi ndani hizo "landing gears" kwa sababu kunakuwa na "Touch and Go" za Frequency ya dakika kumi,ishirini au nusu saa tu mkuu sayme
 
Kweli tunachechemea afu kuna watu wanajifariji tunabana matumizi..na hii nayo wanaweza sema inatua viwanja vyote TZ na ni ndege yenye ubora kulinganisha na ndege wanazotumia majirani zetu wa afrika mashariki na kati.
Unaposema majirani unakuwa unamaanisha nchi gani?Maana nchi zote zinazotuzunguka zina aina hii ya ndege.
 
Back
Top Bottom