Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,266
- 98,312
CUF wanakura ngapi?
Utajaza mwenyewe watanzania wameamua kuifuta na ku i delete kabisa ccm
CUF wanakura ngapi?
Ya Ngorongoro ni cha mtoto kwa cdm,kama tumemfukuza naibu katibu mkuu taifa! Itakuwa huyu mwenyekiti wa WILAYA?Linalo shindikana kwa ccm,kwa cdm linawezekana
hii inahusiana na mada husika? mama Mingoi lini akili itarudi?
hii inahusiana na mada husika? mama Mingoi lini akili itarudi?
Mwezi october atapata akili huyo
October mtasema tumeiba kura
ni nzuri wafu wakizikana.....
Kwani huko kibaha kwenu kupoje kwa sasa hebu tujuze kagenzi yuko wapi kwa sasa?
""Mtakalia majungu hayo hayo na Kagenzi wenu huku mtaa mmoja baada ya mwingine ukikombolewa na Chadema.Hata hivyo tamko la jukwaa la kikristu la kututaka watanzania tuipigie kura ya HAPANA katiba pendekezwa ndiyo habari ya mjini!"
Ya Ngorongoro ni cha mtoto kwa cdm,kama tumemfukuza naibu katibu mkuu taifa! Itakuwa huyu mwenyekiti wa WILAYA?Linalo shindikana kwa ccm,kwa cdm linawezekana
Hata kushinda uchaguzi wa rais
Endeleeni kukesha majukwaani nyumba zenu wakina Kagenzi wanazibomoa.
Wewe nani hadi ujifanye mjuvi au unatafuta mme humu mi nilisha oa kijana nenda mbele
Petro E. Mselewa umeshatoka kwenye meza ya muuza magazeti ninataka kujua kuhusu Kagenzi
Kwahiyo ulitaka waachwe mitaro ya maji iendelee kuchafua mazingira yetu we mbugila tu.
Hebu kunywa maji baridi ondoa hiyo mipovu mdomoni inayokutoka kama umemeza foma limao!