Yametimia: Makonda adaiwa milioni 200

Yametimia: Makonda adaiwa milioni 200

Sasa kuhererhere cha nini

Wenzio wakijiunga JF huwa wanajifunza kwanza nini maana ya GT ndio wanaanza kuchangia? Wewe na papara zako ona sasa hiki ulichoandika unamaanisha nini?
 
Wenzio wakijiunga JF huwa wanajifunza kwanza nini maana ya GT ndio wanaanza kuchangia? Wewe na papara zako ona sasa hiki ulichoandika unamaanisha nini?

Wewe nani hadi ujifanye mjuvi au unatafuta mme humu mi nilisha oa kijana nenda mbele
 
Mimi nina yaliyojiri Ngorongoro

Ya Ngorongoro ni cha mtoto kwa cdm,kama tumemfukuza naibu katibu mkuu taifa! Itakuwa huyu mwenyekiti wa WILAYA?Linalo shindikana kwa ccm,kwa cdm linawezekana
 
Back
Top Bottom