YAMETIMIA:KWELI NI GOLI TATU

YAMETIMIA:KWELI NI GOLI TATU

Mshuza2

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Posts
11,572
Reaction score
18,001
Mkuu kama alijua tutafungwa tatu.
FB_IMG_15616729885276338.jpg
 
Hivi mnatambua kwanini jamaa huwa anadunda tu pamoja na kulaumiwa sana kila kona?
Wote tunatambua nguvu ya kunenewa mabaya na matokeo yake kwa mhusika, Lakini ushawahi kujiuliza kwanini jamaa hatetereki wala kutishika?
Jibu ni moja tu lawama zote na laana (Kama zipo)
zinaenda kwa Paul M na sio yeye!
Yeye ni Daudi ndo maana anazidi kutamba tu!
Na wabaya wake wote wanashindwa kulitambua hili! Mshana Jr ataweza kulielezea vizuri hili.
 
Wewe! Umecheka mpk konda hakuniskia!
kanipitilizisha kituo!
Pole jamani, hivyo unarudi kwa miguu mdogo mdogo. 😀😀

Kiukweli mi nilikuwa nyuma ya Taifa Stars mbali ya kuwa nilijua tunakwenda kushiriki na si kushindana. Hivyo nikajikuta niko tayari kwa lolote litakaloikuta katika harakati zetu za kushiriki.
 
Kudos kwako mana ulijiandaa kisaikolojia! Mm Nlikuwa nashabikia watz wanaoishi Kenya ambayo JAGUAR alitaka kuwafurusha!
Pole jamani, hivyo unarudi kwa miguu mdogo mdogo. [emoji3][emoji3]

Kiukweli mi nilikuwa nyuma ya Taifa Stars mbali ya kuwa nilijua tunakwenda kushiriki na si kushindana. Hivyo nikajikuta niko tayari kwa lolote litakaloikuta.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom