YAMETIMIA:KWELI NI GOLI TATU

YAMETIMIA:KWELI NI GOLI TATU

Match ya mwisho ntakuwa na waarabu wenzangu wa Algiers!
Mwarabu kafuzu tayari so anaweza akawa anacheza kama anafanya mazoez tu kama walivyofanya uganda pale taifa. Bt ata wakilegeza tukafunga kumi safari ya home ipo pale pale baada ya bashite fc kuchabangwa jana.
 
Na kweli Mkuu kwani level za kushindana hatujazifikia bado.
Ni Ukweli Mchungu Ila Sisi Lengo Letu Ni Kushiriki Suala Tumefungwa Ngapi Huko Hatupo
Viongozi Wanakosea Kuanza Hatua Nyingi Sana Wakati Bado Hatujaweza Kutambaa Kwa Hatua Za Ukuaji Mtoto
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom