Munch wa Annabelle
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 6,355
- 11,065
Bwana Yesu asifiwe...…...
Asalam aleykum.......
Wakuu katika tafiti zangu nimegundua kuna uhaba mkubwa wa magroup ya wasap ya maafisa utamu/utelezi ukilinganisha na miaka ya nyuma
Hivi tatzo ni nini au serikali imetia mkazo na sheria kali ndo maana hayapo?
Au kuna nini haswa mpaka kupelekea uhaba huu
Nawasilisha