Yamenikutaaaaaaaaaaaaaa

Yamenikutaaaaaaaaaaaaaa

MstahikiMeya

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
1,633
Reaction score
561
Ninakula zangu viaz hapa kibarazan
braza kaja akanambia 'masumbuko
mi leo nasafir nmepata dili la ghafla
ivo hapa geto utabak peke yako
kuwa makin' nmefurai vbaya mno
kuskia ivo nkasema skubali
akiondoka tu lazma niingze demu
ndani braza akanipa efu sabin ya
matumiz akaniambia ingne
atanitumia kwenye m-pesa
nmerukaruka kwa furaha nkajsemea
hii hii ndo ntaendea kulia bata ile
kaondoka tu nimeenda ndan mbio
nmevua kanyeramumo yangu na
shati langu la kitenge nmetinga
pamba za bro nmemechisha na snap
back yangu ya ccm nmetoka nduki
mpaka kwa demu flan hapo salun
mtaa wa pil ile kuniona tu kafurai
vbaya mno akanambia machachali
leo umependeza sana jaman
unaonekana handsome sio skuzngne
unakujaga na li guta utadhan muuza
mkaa nkamwambia mrembo
usiongee meng sikuiz sipand guta
wala phoenix nmepata kaz mgodin
shka kwanza hii efu kumi ya soda
afu twenzetu gheto kwangu tukale
bata nmeondoka na demu kwa
mbwembwe nkakod na tax mpaka
gheto tumefka tumepitilza mpaka
chumban huku demu ananita baby
nmemkamatan kiuno nmefurai
knoma nkasema namimi leo
nagonga demu nmempandsha
kitandan ila nimmgonge dunguso
imetuna ile nambambia tu demu
nkaskia nmepigwa li teke la mgongo
nageuka hiv namwona braza kashka
mafimbo huku anasema 'yani we li
toto nilishenz sana yani kumbe
nikisafir ndio zako unaleta mademu
hapa geto unajfanya ndio kwako
nlkua nmekuwekea mtego
nmekubamba haya shuka hapo
kitandan na kitovu chako icho kama
kon' ile nashuka tu bro kanpa li
mtama huku ananchapa mafmbo
nmeenda kuangukia kwenye
mavyombo machafu kantoa
chumban huku kanpga mkubeto
mpaka kibarazan kanipa manguo
yake machafu ya gerej nfue huku
npo kfua napigwa barid demu
akaniambia nyoo il toto liongo sana
liliniambia hapa kwake lnafanya kaz
mgodin kumbe fund makenika'
kanipga li konzi la kichwan mpaka
nimejgongeza ukutan....
 
Sasa km bado ni litoto ngono za nini mtoto wewe? Afu kwan shule c zimefunguliwa au ndo ulikataa baada ya kufeli kuingia kidato cha tatu? Au ndo unangoja div5
 
sasa km bado ni litoto ngono za nini mtoto wewe? Afu kwan shule c zimefunguliwa au ndo ulikataa baada ya kufeli kuingia kidato cha tatu? Au ndo unangoja div5

nakungoja na ww uje geto nikupe dunguso
 
Valia bukta nabaki kedekede wanga wengi anga zangu kihama chao kihama changu ukiishi kwa upanga utakufa kwa upanga
 
Mmmmh... Kumbe watoto humu ni wengi!!!!
 
Heheheeeeeeeeeee!kumbe unasoma day na leo jumamosiiiiiii,tutakoma mwaka huu na wtt
 
like seriouslyyyyy!!! Dumbest story i've ever heard before!!
I wish kujiunga jf kungefanywa kwa foleni kama za bss! Khaa!
 
Hahhhhahhha makubwaaaaa bora hiyo hela ungeendaa kuchukua guest basi kuliko kupelekaa gheto una vitukoooo weweeee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom