Yamenikutaaaaaaaaaaaaaa

Yamenikutaaaaaaaaaaaaaa

Hivi, just curious, AshaDii, huyu anaweza kuwa umri gani kati ya ile uliotoa kwenye ranks zako?
 
Last edited by a moderator:
jaman utoto huu
raha ee?

kila stage ina utamu wake bana!

mwacheni dogo afurahike! kwa kiasi fulani amepruvu kwamba ni rijali!

sasa sijui ingekuwaje kama angekutwa na mwanaume mwenzie anapumuliwa kisogoni?
 
kweli lakini..
wacha ainjoi..shule zishafunguliwa lakini
kila stage ina utamu wake bana!

mwacheni dogo afurahike! kwa kiasi fulani amepruvu kwamba ni rijali!

sasa sijui ingekuwaje kama angekutwa na mwanaume mwenzie anapumuliwa kisogoni?
 
kweli lakini..
wacha ainjoi..shule zishafunguliwa lakini
mwallu, najua rank yako ni kati ya 23 to 35, here you are matured.

sasa unataka kuniambia kwamba enzi zako za foolish age haukufanya haya kweli?

hata zile za baba mama?
 
Last edited by a moderator:
Ninakula zangu viaz hapa kibarazan
braza kaja akanambia 'masumbuko
mi leo nasafir nmepata dili la ghafla
ivo hapa geto utabak peke yako
kuwa makin' nmefurai vbaya mno
kuskia ivo nkasema skubali
akiondoka tu lazma niingze demu
ndani braza akanipa efu sabin ya
matumiz akaniambia ingne
atanitumia kwenye m-pesa
nmerukaruka kwa furaha nkajsemea
hii hii ndo ntaendea kulia bata ile
kaondoka tu nimeenda ndan mbio
nmevua kanyeramumo yangu na
shati langu la kitenge nmetinga
pamba za bro nmemechisha na snap
back yangu ya ccm nmetoka nduki
mpaka kwa demu flan hapo salun
mtaa wa pil ile kuniona tu kafurai
vbaya mno akanambia machachali
leo umependeza sana jaman
unaonekana handsome sio skuzngne
unakujaga na li guta utadhan muuza
mkaa nkamwambia mrembo
usiongee meng sikuiz sipand guta
wala phoenix nmepata kaz mgodin
shka kwanza hii efu kumi ya soda
afu twenzetu gheto kwangu tukale
bata nmeondoka na demu kwa
mbwembwe nkakod na tax mpaka
gheto tumefka tumepitilza mpaka
chumban huku demu ananita baby
nmemkamatan kiuno nmefurai
knoma nkasema namimi leo
nagonga demu nmempandsha
kitandan ila nimmgonge dunguso
imetuna ile nambambia tu demu
nkaskia nmepigwa li teke la mgongo
nageuka hiv namwona braza kashka
mafimbo huku anasema 'yani we li
toto nilishenz sana yani kumbe
nikisafir ndio zako unaleta mademu
hapa geto unajfanya ndio kwako
nlkua nmekuwekea mtego
nmekubamba haya shuka hapo
kitandan na kitovu chako icho kama
kon' ile nashuka tu bro kanpa li
mtama huku ananchapa mafmbo
nmeenda kuangukia kwenye
mavyombo machafu kantoa
chumban huku kanpga mkubeto
mpaka kibarazan kanipa manguo
yake machafu ya gerej nfue huku
npo kfua napigwa barid demu
akaniambia nyoo il toto liongo sana
liliniambia hapa kwake lnafanya kaz
mgodin kumbe fund makenika'
kanipga li konzi la kichwan mpaka
nimejgongeza ukutan....

Dogo story yako nzuri na inachekesha na imekumbusha watu mengi waliyo wahi kupitia! japo wako walio kuponda kwa kigezo cha UTOTO. Ungeandika tukio la kuhuzunisha wange kupa pole za kupitiliza ila umeandika cha kuchekesha (japo wamecheka) wamekuponda. Kama una storry tano au kumi zenye ukweli unaochekesha ziandike uzitunze then fikiria jinsi ya kuandika kijarida cha ucheshi! wako wanao andika uchafu mkubwa kuhusu ufuska na vitabu vinanunuliwa kwa fujo! jipange
 
wewe umeamua tu kutufurahisha bro angefurahi tu kwamba kijana yupo gado.
 
Mnafungua lini shule mwende huko ili tubaki watu wazima JF?
 
Haya bana wapeni watoto zao msiwanyanyase
 
so boring,anyway ashaipost na tumeisoma.karibu sana jf mmu dogo
 
like seriouslyyyyy!!! Dumbest story i've ever heard before!!
I wish kujiunga jf kungefanywa kwa foleni kama za bss! Khaa!

kwenda zako huko wenzio tumecheka na kituko cha leo wew wew unajifanya kununa??!"nuna had upasuke
 
Yaani Ni Bora Wewe Japo Watu Wanakuponda, Kunawatu Wazima Humu Jf Wanapost Upuuzi Sana Wanaishia Kuwaponda Wenzao, Wanajifanya Smarter As If Hawakupitia Hiyo Stage, Na Utakuta Wao Ndio Walikuwa Victims Sana Na Hiyo Stage
 
Yaani Ni Bora Wewe Japo Watu Wanakuponda, Kunawatu Wazima Humu Jf Wanapost Upuuzi Sana Wanaishia Kuwaponda Wenzao, Wanajifanya Smarter As If Hawakupitia Hiyo Stage, Na Utakuta Wao Ndio Walikuwa Victims Sana Na Hiyo Stage

Hivi wale wanaopost mada za kujamba jamba si watu wazima kabisa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom