Yamenikutaaaaaaaaaaaaaa

Yamenikutaaaaaaaaaaaaaa

you are right Excel...na sikupitia hayo kabisa
mwallu, najua rank yako ni kati ya 23 to 35, here you are matured.

sasa unataka kuniambia kwamba enzi zako za foolish age haukufanya haya kweli?

hata zile za baba mama?
 
Last edited by a moderator:
kwenda zako huko wenzio tumecheka na kituko cha leo wew wew unajifanya kununa??!"nuna had upasuke
hivi unajielewa kweli! unajua nikinuna ama nikicheka natoa sauti gani! mkuu unaumbuka bure kwa kupayuka payuka hovyo..angalia hizi mambo chalii... JIPANGE UPYA NA UELEWA WAKO! Af usiishi kwa formula ... be independent!
 
unacheka kwa vibration
 
Ila na huyo kaka noma, anakupa mkong´oto ukiwa katika hatua za mauaji?
 
Hihihi😀 bro kakubania

Hukungojea hata siku ipite ??😉
 
Mtoto mdogo kumwambia mtu mzima maneno ya kitoto tunasema mtoto anakuwa.
Lakini mtu mzima kumwambia mtu mzima mwenzake maneno ya kitoto kunaualakini.......!!
Ila swadakta hahahahahahahahahaha imenichekesha.
 
kitufye cha like sikioni, basi chukua makopa 8000
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom