Hahahaha! Sasa tukushauri nini na ushamaliza? Umepanda mbegu, umepalilia, saa ya kuvuna mbigiri unatuita. Huko ghetto kwa mshkaji akikatiza demu mwingine usimuachie, gegeda mwanawani. Krismas njema eeh.
ni shetani alinipitia mimi mwenyewe najuta, tatizo liko kwa huyu bi mkubwa sijui kama anaweza sahauakili za kiume sijui zikoje.
under yr roof?? bora hata ungeenda mbali aisee
wanaume kwa kumsingizia shetani banaHabarini za asubuhi ndugu zangu naombeni ushauri wenu wa dhati maana niko njia panda sijui lipi la kufanya,mimi naishi Arusha nina mke na watoto wawili sasa hivi karibuni kama miezi 5 iliyopita nilipata mgeni pale nyumbani kwangu ni binti kama wa miaka 20 ni ndugu yake na wife.yule binti kwakweli ni mrembo sasa shetani alinipitia nikajikuta natembea nae, hako ka mchezo hua nakafanyia hapohapo nyumbani mda labda wife hayupo na msichna wa kazi sometime hayupo .sasa msichana wangu wa kazi alishtukia huo mchezo ndipo alipomweleza wife kila kitu, wife nae akambana yule ndugu yake hadi akakubali kua ni kweli hua na duu na baba mda ukiwa haupo,yaliyo nikuta nikwamba nimewekwa kikao na binti akaongea yoote mbele ya kadamnass ndugu zangu ni aibu maana majirani wanajua hadi watoto wanajua sasa niko njia panda sijui nianzie wapi nahisi ndoa yangu ndoa bass tena ,emebidi nitoke home kwa mda niko kwa washkaji angalau labda hasira ya wife itapungua
dahh ndugu yangu huo sio msaada niliokua naomba kwanza nawaza mambo mengi maana wife sidhani kama aneweza samehe hii kitu lengine pia hao mtaani sijui ntakatizaje??
akili za kiume sijui zikoje.
under yr roof?? bora hata ungeenda mbali aisee
wanaume kwa kumsingizia shetani bana
Akili za baadhi ya wana wa kiume sijui zikoje, khaa na wewe!.akili za kiume sijui zikoje.
under yr roof?? bora hata ungeenda mbali aisee
Dada kwani katembea na mwanaume mwenzake? we si unaona kamgegeda shemeji tena toka nikutoke na dadaye...
ukome, kiranga chako umekitafuta..... Ni ukosefu wa hali ya juu wa adabu.......anyway mwanaume mpumbavu huvunja ndoa yake mwenyewe