Yamenikuta na mpemba huyu

Yamenikuta na mpemba huyu

Hellow

Niliwai kuleta uzi hapa kuulizia wapemba wapoje

Hii ni wakati wangu kwanza kudate na bint wa kipemba na wakiislamu mtumbue ilo huyu mpemba nilimpata katika mizunguko tukaanzisha mahusiano

Mwanzo aligoma na kusema mpaka nimuoe nikamdanganya basi leo ndio ilikuwa siku ya mzagamua basi tulikutana tukasepa lodge kufika tukaanza piga kwanza story mambo mengi mchezo ukaanza maandalizi

Wakati ndio namuona kalainika pasipo kufahamu kapandisha maji kawa na nguvu gafla sana na kuanza kupiga kelele nilibaki nime tahamaki sina la kufanya nipo tu namuangalia muhudumu alikuja palr ana gonga mlango nikavaa chap nikamruhusu aingie tusaidiane

Ase hii kitu omba isikukute kumbe ana majini sasaiv et anasema nisamehe pale lodge kulikuwa na marashi makali sana sababu amabazo mimi sizielewi nimeamua kublock naona hakuna jambo hapo
Chief cooker wetu leo kaingia cha kike.

Bora umngetufundisha kupika vitumbua mwanangu au vipi.
 
Ndio walivyo hao,huku Mwanga kuna kadem kaaskari kapemba nacho kinapandishagahvyo hvyo,dawa yake kikiwa kinaliwa ni kuliwa na bange tu
 
Nishamuacha
Kuna dada wa kazi tulikuaga nae home, alikua na majini basi hayataki afanye.

Akaona isiwe kesi si akaenda kuchonga dushe ya mbao, fundi mwenyewe alikua mtaalamu imetengenezwa vizuri kabisa imenyooka, alivoileta akanionesha tukacheka tu akaificha.

Daaaah jioni si akapandisha majini, yamekasirika balaa tupo familia nzima, maza kaka zangu, dada....yakaanza kuongea ametuudhi sana huyu, yanaulizwa kafanyaje, yakasema ameleta mchongo, watu wanaulizana mchongo ni nini hamna anaejua, yakaninyooshea kidole na huyu rafiki anajua anaujua mchongo nilihisi aibu sana sasa mi nitasimuliaje huo mchongo.

Maza ananiambia mchongo ni nini, mi kimyaaa akaamka kwa hasira akafata ile dushe akaionesha 🤣🤣🤣🤣 afu akaenda nje akairusha mbali
 
Ndio zao hiyo Zanzibar, kuna jamaa yangu alikanywa asitembee na mwanamke fulani wa Kiarabu, ila dogo kwa nyege zake hakuskia, baada ya kula zigo alianza maisha ya mateso kila siku anashambuliwa na majini yanamyonga nyonga, ilibidi aombewe sana kanisani aliporudi Dar, na imebidi aishi maisha ya Kikristo bila kasoro zozote maana hayo majini yanasubiri ajichanganye na dhambi .
Mwanamke akishakuambia yeye muislamu, muepuke sana tu

Hawa akina Malaria 2 FaizaFoxy hatari sana
 
Kuna binti wa kazi tulikuaga nae home, alikua na majini basi hayataki afanye.

😅😅🤣🤣🤣
 
Yakikuvaa yamekuvaa
 
Mh mbona kazi sana sasa walikuwa wanataka abaki bikra
 
Ndio zao hiyo Zanzibar, kuna jamaa yangu alikanywa asitembee na mwanamke fulani wa Kiarabu, ila dogo kwa nyege zake hakuskia, baada ya kula zigo alianza maisha ya mateso kila siku anashambuliwa na majini yanamyonga nyonga, ilibidi aombewe sana kanisani aliporudi Dar, na imebidi aishi maisha ya Kikristo bila kasoro zozote maana hayo majini yanasubiri ajichanganye na dhambi .
Mwanamke akishakuambia yeye muislamu, muepuke sana tu

Hawa akina Malaria 2 FaizaFoxy hatari sana
Noma
 
Kuna binti wa kazi tulikuaga nae home, alikua na majini basi hayataki afanye.

Akaona isiwe kesi si akaenda kuchonga dushe ya mbao, fundi mwenyewe alikua mtaalamu imetengenezwa vizuri kabisa imenyooka, alivoileta akanionesha tukacheka tu akaificha.

Daaaah jioni si akapandisha majini, yamekasirika balaa tupo familia nzima, maza kaka zangu, dada....yakaanza kuongea ametuudhi sana huyu, yanaulizwa kafanyaje, yakasema ameleta mchongo, watu wanaulizana mchongo ni nini hamna anaejua, yakaninyooshea kidole na huyu rafiki anajua anaujua mchongo nilihisi aibu sana sasa mi nitasimuliaje huo mchongo.

Maza ananiambia mchongo ni nini, mi kimyaaa akaamka kwa hasira akafata ile dushe akaionesha 🤣🤣🤣🤣 afu akaenda nje akairusha mbali
🙆‍♂️kiongozi tuonee huruma japo kidgo apa majani yamezidi sukari
 
Back
Top Bottom