Yamenikuta na mpemba huyu

Yamenikuta na mpemba huyu

Msuya wanawake wanaweza kukuletea noma na aibu kubwa Huku wao wakitoka salama.

Nakushauri Kama kwenye suruali umebeba kibua, usikimbilie kuvua nguo hovyo.

Haiwezekan Mbuzi akimbie Panga.
Hakika
 
Ha
Hellow

Niliwai kuleta uzi hapa kuulizia wapemba wapoje

Hii ni wakati wangu kwanza kudate na bint wa kipemba na wakiislamu mtumbue ilo huyu mpemba nilimpata katika mizunguko tukaanzisha mahusiano

Mwanzo aligoma na kusema mpaka nimuoe nikamdanganya basi leo ndio ilikuwa siku ya mzagamua basi tulikutana tukasepa lodge kufika tukaanza piga kwanza story mambo mengi mchezo ukaanza maandalizi

Wakati ndio namuona kalainika pasipo kufahamu kapandisha maji kawa na nguvu gafla sana na kuanza kupiga kelele nilibaki nime tahamaki sina la kufanya nipo tu namuangalia muhudumu alikuja palr ana gonga mlango nikavaa chap nikamruhusu aingie tusaidiane

Ase hii kitu omba isikukute kumbe ana majini sasaiv et anasema nisamehe pale lodge kulikuwa na marashi makali sana sababu amabazo mimi sizielewi nimeamua kublock naona hakuna jambo hapo
Hhahaaa nd ukome kufata wapemba tafta wasukuma
 
Back
Top Bottom