Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,586
- 66,282
- Thread starter
- #121
Ngoja nimtafute uyo msukumaHa
Hhahaaa nd ukome kufata wapemba tafta wasukuma
Ngoja nimtafute uyo msukumaHa
Hhahaaa nd ukome kufata wapemba tafta wasukuma
Sema kweliPole sana mkuu huyu alikuwa anakuigizia tu, usimle
Ndiyo hivyo mkuu, ungefosiSema kweli
Bas kaniwezaNdiyo hivyo mkuu, ungefosi
Hamisi hutaki Majin wazuri ?Mpaka nimdate mojawao ili niwe na prior infos za nitakaemuoa, sema nikimpata kama Zuchu ntampiga dog huku nimesimama kwa mguu moja😁
Ukiskia nyota, bahati, mkono wa pesa fungu la kupata na mengine ya ufanano huo toka nduki hapo hamna wife bora tubanane huku kwa kina binti wa mzee kufakunoga tujipatie yutiai suguHamisi hutaki Majin wazuri ?
Nakusihi Oa Mpemba ... Mifwedha inakuja tuu yenyewe.
Naskia Wana nyota Kali Sana😂.
Mwanamke kiganja kimejaa mipete Kama Migos.Ukiskia nyota, bahati, mkono wa pesa fungu la kupata na mengine ya ufanano huo toka nduki hapo hamna wife bora tubanane huku kwa kina binti wa mzee kufakunoga tujipatie yutiai sugu
😁😁huenda we ndo mganga wakeMwanamke kiganja kimejaa mipete Kama Migos.
Nnae mmoja ye hata akijikwaa utaskia Hamniwezi.
Kichwa kinawaza visomo.
Room kwake na kwa mganga Hakuna tofauti maudi yanachomwa daily.

Nani mganga ?😁😁huenda we ndo mganga wake
😁😁huenda we ndo mganga wake
Kk na location tena! Unataka uni requestie bolt nn? Nipe namba hyo mkuu nijipatie wahubani mm naona ww Majin hayajakupenda🤣Au sio upo wapi