Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,586
- 66,282
- Thread starter
- #81
Sasa uyo askar kaolewa?Ndio walivyo hao,huku Mwanga kuna kadem kaaskari kapemba nacho kinapandishagahvyo hvyo,dawa yake kikiwa kinaliwa ni kuliwa na bange tu
Sasa uyo askar kaolewa?Ndio walivyo hao,huku Mwanga kuna kadem kaaskari kapemba nacho kinapandishagahvyo hvyo,dawa yake kikiwa kinaliwa ni kuliwa na bange tu
Awadh mwache mwenetu, jamaaa kaiona nchii ya ahadi lakini hakuingiaChipsi kala Mapepo tulii.
Soda kanywa Mapepo tulii.
Muda wa Miti Mapepo Full charge, ***** wapemba wana intelijensia Kali Sana.😂😂
Ungemkaza hivyo hivyo na majini yake angetulia, kwahiyo ukamuacha?Hellow
Niliwai kuleta uzi hapa kuulizia wapemba wapoje
Hii ni wakati wangu kwanza kudate na bint wa kipemba na wakiislamu mtumbue ilo huyu mpemba nilimpata katika mizunguko tukaanzisha mahusiano
Mwanzo aligoma na kusema mpaka nimuoe nikamdanganya basi leo ndio ilikuwa siku ya mzagamua basi tulikutana tukasepa lodge kufika tukaanza piga kwanza story mambo mengi mchezo ukaanza maandalizi
Wakati ndio namuona kalainika pasipo kufahamu kapandisha maji kawa na nguvu gafla sana na kuanza kupiga kelele nilibaki nime tahamaki sina la kufanya nipo tu namuangalia muhudumu alikuja palr ana gonga mlango nikavaa chap nikamruhusu aingie tusaidiane
Ase hii kitu omba isikukute kumbe ana majini sasaiv et anasema nisamehe pale lodge kulikuwa na marashi makali sana sababu amabazo mimi sizielewi nimeamua kublock naona hakuna jambo hapo
Ase hatari🤣🤣🤣🤣 Ogopa matapeli,hapo umeingizwa chaka live bila chenga!!
Unaingiaje na vita kali 😂Awadh mwache mwenetu, jamaaa kaiona nchii ya ahadi lakini hakuingia
Ah nilimuachaUngemkaza hivyo hivyo na majini yake angetulia, kwahiyo ukamuacha?
Na kaikataJini mkata kamba
Naoa soonMkuu oa, achana na hizi mambo 😃
Au sio upo wapiNpe namba yake mkuu, natafuta sana Dem mpemba
Mpemba wa unguja niliteleza kipenzi ila sijakucheatMpemba gani tena Mwachiluwi 😒
Sema hii tasnia ya uchakataji ina changamoto nyingi sanaUnaingiaje na vita kali 😂
aaah! mimi kama mwenyekiti wa Luhila naomba ufike kwenye kikao cha baraza haraka sana tujadili hili jamboAh nilimuacha
Pakaa mikononi iwe hina🙆♂️kiongozi tuonee huruma japo kidgo apa majani yamezidi sukari
Hawezi kukosa, atakuja hata kwa lazimaaaah! mimi kama mwenyekiti wa Luhila naomba ufike kwenye kikao cha baraza haraka sana tujadili hili jambo
Mani Fabian hikikisha Mwachiluwi anafika kwenye kikao
Luhila salam club au?😆mimi kama mwenyekiti wa Luhila naomba ufike kwenye kikao cha baraza haraka sana tujadili hili jambo
Mpemba anayoVitumbua sina ile flapen yake
ukiona anazingua mpige Kita tano ya ulanzi, yaani mpaka mzee Njogopa amemshinda?Hawezi kukosa, atakuja hata kwa lazima
Kijiji cha LuhilaLuhila salam club au?😆
ipowapi hii kiongozi?Kijiji cha Luhila
ipowapi hii kiongozi?