Yamenikuta mwenzenu

Yamenikuta mwenzenu

Joined
Sep 5, 2014
Posts
67
Reaction score
34
Nina mpenzi wangu ambaye alinidanganya kuhusu umri wake, kutokana na umbo lake kubwa wala sikutia shaka jana ndio nimekibamba kitambulisho chake cha kupigia kura kumbe mimi ndio nimemzidi miaka 8 nilighafirika mno sikupanga kungonoka na mtu niliyemzidi umri kiasi hicho sikujua kumbe nilikuwa najidhalilisha naona hadi aibu kumvulia tena chup*

NIPENI POLE
 
nenda kwa mizee ina visukar imechoka na sex haina nguvu za kiume...utamkumbuka tu...mpe kijana mambo akupe huduma ww
 
conditional love? don't think so and if you really love him, proceed
 
Nina mpenzi wangu ambaye alinidanganya kuhusu umri wake , kutokana na umbo lake kubwa wala sikutia shaka jana ndio nimekibamba kitambulisho chake cha kupigia kura kumbe mimi ndio nimemzidi miaka 8 nilighafirika mno sikupanga kungonoka na mtu niliyemzidi umri kiasi hicho sikujua kumbe nilikuwa najidhalilisha naona hadi aibu kumvulia tena chup* NIPENI POLE

Wewe kweli punguwani!
 
Aibu ya nini wakati umeshampa hiyo nanihii,nk.nk.nk.?
 
ni mtamu ila kwa kunidanganya sina haja naye tena kwani kama kaweza kunidanganya swala dogo kama hilo hawezi shindwa kwa jambo kubwa
 
Nina mpenzi wangu ambaye alinidanganya kuhusu umri wake, kutokana na umbo lake kubwa wala sikutia shaka jana ndio nimekibamba kitambulisho chake cha kupigia kura kumbe mimi ndio nimemzidi miaka 8 nilighafirika mno sikupanga kungonoka na mtu niliyemzidi umri kiasi hicho sikujua kumbe nilikuwa najidhalilisha naona hadi aibu kumvulia tena chup*

NIPENI POLE
Mi

cheti changu cha kupiga kura kina umri mdogo kwa miaka 4..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom