Yamenikuta mwenzenu

Yamenikuta mwenzenu

ni mtamu ila kwa kunidanganya sina haja naye tena kwani kama kaweza kunidanganya swala dogo kama hilo hawezi shindwa kwa jambo kubwa
Sina comment coz yalinikuta,,,,,,,,,,,,,,,,,,lakini endelea nae tu kwani nini?????????????labda kama huna mapenzi nae,,,,kwa sababu nyingine,,,,,,,,,,,,
 
Nina mpenzi wangu ambaye alinidanganya kuhusu umri wake, kutokana na umbo lake kubwa wala sikutia shaka jana ndio nimekibamba kitambulisho chake cha kupigia kura kumbe mimi ndio nimemzidi miaka 8 nilighafirika mno sikupanga kungonoka na mtu niliyemzidi umri kiasi hicho sikujua kumbe nilikuwa najidhalilisha naona hadi aibu kumvulia tena chup*

NIPENI POLE

Daaaa! Pole sana achana nae huyo njoo Pm nikushauri vizuri Iooo!
 
Nina mpenzi wangu ambaye alinidanganya kuhusu umri wake, kutokana na umbo lake kubwa wala sikutia shaka jana ndio nimekibamba kitambulisho chake cha kupigia kura kumbe mimi ndio nimemzidi miaka 8 nilighafirika mno sikupanga kungonoka na mtu niliyemzidi umri kiasi hicho sikujua kumbe nilikuwa najidhalilisha naona hadi aibu kumvulia tena chup*

NIPENI POLE
Itakuwa ulimpa ndogo.....
Mlinyonyana gegedo, kigegedwa , mnduku , katerero na inaonekana una tabia ya kulia sana na kwa sauti wakati unaliwa utamu.
Usijali watu washakula hata waliowazidi miaka 20 sembuse 8?
 
Hehehee....Miaka 8??? Poleeee..!!
 
Umepata aliyepokea escrow sasa inatafuta pa kutokea ikisha escrow utaondoka tena maana zito kasema kuna kasfa kubwa zaidi inakuja
 
Acha uzinzi wewe, wataka pole kwani weye mgonjwa!!!
 
Itakuwa ulimpa ndogo.....
Mlinyonyana gegedo, kigegedwa , mnduku , katerero na inaonekana una tabia ya kulia sana na kwa sauti wakati unaliwa utamu.
Usijali watu washakula hata waliowazidi miaka 20 sembuse 8?

Pacha katika ubora wake!!
 
We mpe papuchi ila inakuwa siri yako usije kutuambia yatakayotokea kwenye 6 kwa 6
 
ni mtamu ila kwa kunidanganya sina haja naye tena kwani kama kaweza kunidanganya swala dogo kama hilo hawezi shindwa kwa jambo kubwa

Kulingana na mira na desturi za kiaftika, wanawake wanaojiheshim mbele ya jamii hawapendi open relationship na wanaume wadogo kwao. Kwa upande wa wanaume pia nao hawapendi hilo sema kwa sababu ya tamaa ya mwili au pesa anajikuta nae yumo. Kutokana na wanaume wakubwa pia kuwa na mambo mengi au pengine majukumu hushindwa kuwaridhisha wanawake hvyo hupelekea nao kupenda wadogo ila kwa siri. Wana
Nakushauri, usikurupuke maana km anakugonga vzr hata km itapaka mkubwa km hakukoshi utakua unarudi kwa dogo akusuuze. We endelea kuchunguza umri wake kwan watu wengi wanafake umri kwenye docs km passoort, vitambulisho nk. Tumia marafiki wake wakaribu au ndugu zake ujue mwaka halisi aliozaliwa huku weww ukijifanya mdogo zaidi. Na ukijua km ni kweli mdogo na tumia moyo wako kuamua co masikio
 
Nina mpenzi wangu ambaye alinidanganya kuhusu umri wake, kutokana na umbo lake kubwa wala sikutia shaka jana ndio nimekibamba kitambulisho chake cha kupigia kura kumbe mimi ndio nimemzidi miaka 8 nilighafirika mno sikupanga kungonoka na mtu niliyemzidi umri kiasi hicho sikujua kumbe nilikuwa najidhalilisha naona hadi aibu kumvulia tena chup*

NIPENI POLE
Age is just a number
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom