ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,676
Nyie galz bhnaa......jamaa kama anakufikisha top of mountain unataka kingine nini? We ushapata mwingine bhna....hujui kuwa love iz blind acha zako
sijui ulikutana na mimi ??
Muambie akutajie jia
ni mtamu ila kwa kunidanganya sina haja naye tena kwani kama kaweza kunidanganya swala dogo kama hilo hawezi shindwa kwa jambo kubwa
= nilighafilika
Nina mpenzi wangu ambaye alinidanganya kuhusu umri wake, kutokana na umbo lake kubwa wala sikutia shaka jana ndio nimekibamba kitambulisho chake cha kupigia kura kumbe mimi ndio nimemzidi miaka 8 nilighafirika mno sikupanga kungonoka na mtu niliyemzidi umri kiasi hicho sikujua kumbe nilikuwa najidhalilisha naona hadi aibu kumvulia tena chup*
NIPENI POLE
Huyo mbona mdogo tu, watu wanakula wenye 50years na wao wana 30!Nina mpenzi wangu ambaye alinidanganya kuhusu umri wake, kutokana na umbo lake kubwa wala sikutia shaka jana ndio nimekibamba kitambulisho chake cha kupigia kura kumbe mimi ndio nimemzidi miaka 8 nilighafirika mno sikupanga kungonoka na mtu niliyemzidi umri kiasi hicho sikujua kumbe nilikuwa najidhalilisha naona hadi aibu kumvulia tena chup*
NIPENI POLE
kwani wewe una miaka mingapi?Haha pole duh hata mie niliye mzidi umri hapana aiseee siwez
and a jail is just a roomAge is just a number.