1. Usilazimishe mapenzi, kama kakutema kaa kimya.
2. Ukilazimisha atakuja na masharti makubwa sana.
3. Inawezekana uliperform vibaya sana kwenye test yake ya kukupa game.
Kinga muhimu na kama kaniachia vidudu mpaka miezi mitatu
Udhaifu sijauona means aliishiwa nguvu katikati ya mchezo akilalamika tumbo linamuuma na alikuwa akisafiri kesho yake.
Anasema alikuwa katika siku zake.
mkuu ushauri wako nimeupokea kwa mikono miwili nashukuru.
Ali complain tumbo linamuuma huenda alikuwa anaingia...
Nilitaka Kukwambia huu ndo ushauri. From TIZED
Tenabaada ya kumwambia 'SAWA'
ongeza, naheshimu maamuzi yako!
Na baada ya hapo piga kimya ww mwanaume huwezi kushindwa
Akituma msj jibu short bt clear
Ila ww usimtafute ....then utamuona akianza kuhangaika
Habari wana MMU
Kuna binti niliyetokea kumtongoza kama mwezi mmoja uliopita, katika kufahamiana nikagundua binti huyu alikuwa na mpenzi akaachwa.
Yeye pia aliniambia hilo.
Majuzi alikubali Kunipa mchezo usiku kucha bila hiyana na akawa amesafiri.
Nikimtumia meseji hajibu anakuwa kimya tu.
Usiku huu kanitumia huu ujumbe.
Sorry but naomba tubakie like a sister and brother kwa sababu mapenzi yamenichanganya sitaki kuwa na boy yeyote tena in ma life nataka niwe single please nielewe even though tushajuana.
Wakuu naombeni ushauri wenu nitamrudusha vipi kwenye reli maana bado nampenda na hatujawahi kukwazana sijui kapatwa na nini.
Hawajui wanawake ataendeshwa kama gari bovu hata kama amempenda inabidi acheze karata yake vizuri la sivyi itakula kwake na atajuta mwenyewe.....