Yamenikuta, msaada tafadhali

Yamenikuta, msaada tafadhali

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,364
Reaction score
27,756
Habari wana MMU

Kuna binti niliyetokea kumtongoza kama mwezi mmoja uliopita, katika kufahamiana nikagundua binti huyu alikuwa na mpenzi akaachwa.

Yeye pia aliniambia hilo.

Majuzi alikubali Kunipa mchezo usiku kucha bila hiyana na akawa amesafiri.

Nikimtumia meseji hajibu anakuwa kimya tu.

Usiku huu kanitumia huu ujumbe.

Sorry but naomba tubakie like a sister and brother kwa sababu mapenzi yamenichanganya sitaki kuwa na boy yeyote tena in ma life nataka niwe single please nielewe even though tushajuana.

Wakuu naombeni ushauri wenu nitamrudusha vipi kwenye reli maana bado nampenda na hatujawahi kukwazana sijui kapatwa na nini.
 
Usifikiri kakosea au hajui anachokifanya. Its a TRICK. We mwambie tu SAWA. then kula bati
Ukikosea tu ukamuonesha hiko ''DESPERATION'' yako. UMEUMIA mzee.

Kama unabisha we mlambe miguu abadilishe msimamo wake uone hivyo vigezo na masharti utavyowekewa. The know how to hit where it hurts and timely for their advantage but at your disadvantage. Pls be a gentleman enough.


Habari wana MMU
""""" Xory BT menaomba tureamin like a sister and brother cz mapenz yamenichanganya ctaki kuwa na boy yeyote tena in ma life nataka niwe single plz nielew even thiugh tushajuana"""""""".
 
Ulitumia kinga au mlipima? Kama vipi check afya then endelea na maisha. Kuna wadada nao wapo mwenye kampeni ya kujaza Noah.
 
Habari wana MMU

Kuna binti niliyetokea kimtongoza kama mwezi mmoja uliopita, katika kufahamiana nikagundua binti huyu alikuwa na mpenzi akaachwa.


Yeye pia aliniambia hilo.


Majuzi alikubali Kunipa mchezo usiku kucha bila hiyana na akawa amesafiri


Nikimtumia meseji hajibu anakuwa kmya tu.


Usiku huu kanitumia huu ujumbe.


""""" Xory BT menaomba tureamin like a sister and brother cz mapenz yamenichanganya ctaki kuwa na boy yeyote tena in ma life nataka niwe single plz nielew even thiugh tushajuana""""""""


Wakuu naombeni ushauri wenu nitamrudusha vipi kwenye reli maana bado nampenda na hatujawahi kukwazana sijui kapatwa na nini.

Mechi ilikushinda, kaona ale kona mapema au yupo kwenye kampeni. Kacheki tena afya yako.
 
Tena huyo ni muungwanaa ile mbaya .. Hata Kama huo usiku mzima ulikua unamtania kaona bora akwambie kistarabu...
 
mbma jibu rahisi muulize why anataka mbaki friends mwenye majibu ni huyo mdada c uku jf!
 
habari wana mmu

kuna binti niliyetokea kimtongoza kama mwezi mmoja uliopita, katika kufahamiana nikagundua binti huyu alikuwa na mpenzi akaachwa.


Yeye pia aliniambia hilo.


Majuzi alikubali kunipa mchezo usiku kucha bila hiyana na akawa amesafiri


nikimtumia meseji hajibu anakuwa kmya tu.


Usiku huu kanitumia huu ujumbe.


""""" xory bt menaomba tureamin like a sister and brother cz mapenz yamenichanganya ctaki kuwa na boy yeyote tena in ma life nataka niwe single plz nielew even thiugh tushajuana""""""""


wakuu naombeni ushauri wenu nitamrudusha vipi kwenye reli maana bado nampenda na hatujawahi kukwazana sijui kapatwa na nini.

ushawahi rudisha treni kwenye tope ukaiweka kwenye reli tena mkuu

huyo ukijaribu kupita sanane nane afrika sana waweza kuta mteja wako wa kila siku if ...wishes
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom