Habari wakuu.
Katika kupiga story juzi kati kijiweni ikaibuka story ya kuwa ukifanya mapenzi na mwanamke akatunia kitambaa chake kukufutia na kwenda nacho anaweza kukuloga.
Ambacho anatakiwa kufanya nikuchukua kile kitambaa alichokufutia na kukiweka chini ya mtungi! Then mzigo hausimami labda kwake tu.
Kutokana na U-Thomaso wangu nikasema ngoja nikajaribu nione Kaa hii kitu inafanya kazi kweli. Basi bhana ijumaa nikamwita mpenzi wangu Tukafanya ya kufanya nikamueleza na lengo langu lakutotaka kumcheat so anifute na kitaamba na andoke nacho akakiweke chini ya mtungi then mzigo hautosimama kwa mtu mwingne.
Alifurahi sana aliona kama na mpenda sana kumbe lengo langu ilikuwa kuona yanayosemwa Kaa nikweli au ni uongo.
Basi bhana Leo asubuhi nimemwita mpenzi wangu mwingne Ili nione Kaa ni kweli au ni uongo! Lakini Hadi sahivi navyoandika huu Uzi hapa mzigo umelala yoo! Haujaamka nimempgia yule mwanamke atoe kile kitambaa lakini naona ananijibu majibu ya kukatisha tamaa.
Najua humu jamiiforum Kuna wataraam wakubwa ambao wanaweza nisaidia nirudi kama kawaida! Nawakaribisha.
Nawasilisha.