Yamenikuta! Msaada Tafadhali...

Yamenikuta! Msaada Tafadhali...

Ulipata wapi tiba mkuu! Maana na mm Nako elekea sipajua maana huyu mwanamke amesema nitajijua mwenyewe
 
Angalia sana humu jukwaani. Tena kua makini.
Usishangae waungwana wakakushauri uende kuweka uwemba rehani kutengua hicho kifungo.
Baadae unaanza kusimamisha lakini tayari unakuta Pioneer imelala yoo.
Kwa uelewa zaidi, pioneer ni hii hapa
images (11).jpeg
 
Huu ni uongo

Ila najua kuwa usiruhusu mwanamke aindoke au aukufute na kitambaa chake na kuondoka na kutambaa iko wakuu wanaroga ili umuoe
 
'ukalamba moto kwa ulimi siyo..!?

mbona wazungu huwa wana 'sacrifice' hadi maisha yao wakati wanafanya ugunduzi wa jambo..?

Sisi tutakupa credit kwenye matoleo yetu huku MMU kama shujaa wa 'single p for life' usijali mkuu, naomba na mwingine ajaribu tuone kama ni kweli..!😂😂
Hapana mkuu mwenye uelewa wa hii kitu aokoe jahazi aisee!! Hela Sina na kula mizigo nisile kweli?
 
Ulipata wapi tiba mkuu! Maana na mm Nako elekea sipajua maana huyu mwanamke amesema nitajijua mwenyewe
Mwambie aje upige show aje na kitambaa mjifutie tena ataondoka nacho ili kuimarisha lengo lako la kutomsaliti.. akija sasa na kitambaa fanya kila liwezekanalo asiondoke nacho
 
Mwambie aje upige show aje na kitambaa mjifutie tena ataondoka nacho ili kuimarisha lengo lako la kutomsaliti.. akija sasa na kitambaa fanya kila liwezekanalo asiondoke nacho
Nilikuwa sijaona mengi kumbe😀
 
Mwambie aje upige show aje na kitambaa mjifutie tena ataondoka nacho ili kuimarisha lengo lako la kutomsaliti.. akija sasa na kitambaa fanya kila liwezekanalo asiondoke nacho
Shukrani mkuu.
 
Habari wakuu.

Katika kupiga story juzi kati kijiweni ikaibuka story ya kuwa ukifanya mapenzi na mwanamke akatunia kitambaa chake kukufutia na kwenda nacho anaweza kukuloga.

Ambacho anatakiwa kufanya nikuchukua kile kitambaa alichokufutia na kukiweka chini ya mtungi! Then mzigo hausimami labda kwake tu.

Kutokana na U-Thomaso wangu nikasema ngoja nikajaribu nione Kaa hii kitu inafanya kazi kweli. Basi bhana ijumaa nikamwita mpenzi wangu Tukafanya ya kufanya nikamueleza na lengo langu lakutotaka kumcheat so anifute na kitaamba na andoke nacho akakiweke chini ya mtungi then mzigo hautosimama kwa mtu mwingne.

Alifurahi sana aliona kama na mpenda sana kumbe lengo langu ilikuwa kuona yanayosemwa Kaa nikweli au ni uongo.

Basi bhana Leo asubuhi nimemwita mpenzi wangu mwingne Ili nione Kaa ni kweli au ni uongo! Lakini Hadi sahivi navyoandika huu Uzi hapa mzigo umelala yoo! Haujaamka nimempgia yule mwanamke atoe kile kitambaa lakini naona ananijibu majibu ya kukatisha tamaa.

Najua humu jamiiforum Kuna wataraam wakubwa ambao wanaweza nisaidia nirudi kama kawaida! Nawakaribisha.

Nawasilisha.
Umejaribu kupiga nyeto...
 
Kwanza unachotuambia kuwa eti akiweka kitambaa alichokufutia chini ya mtungi bila kuchanganya na dawa zingine huo ni UONGO..
Wewe umempa mbegu zako na maelekezo kaenda kupewa ujuzi mbele ya Safari lakini sio huo uliompa wewe kutaka kujaribu..

Siku nyingine acha upuuzi na mwanamke.
Tafuta penye Alovera ichanje shinani ikianza toa maji nawe pakojolee hapo shinani pa Alovera panapotoa maji.
 
Shukrani mkuu
 
Hili nikweli kabisa mie kuna kademu kalifuta shahawa zangu na kyupi yake na kusepa nayo aisee nimepata tabu...sasa imagine na kibamia nacho hakisimami
 
Hili nikweli kabisa mie kuna kademu kalifuta shahawa zangu na kyupi yake na kusepa nayo aisee nimepata tabu...sasa imagine na kibamia nacho hakisimami
😂😂😂
 
Mimi imewahi kunikuta sema yeye alinifuta Kisha akajifuta halafu akachukua kile kitambaa akakifunga fundo tatu akaenda kukiifadhi anakojua jua yeye mbaya zaidi alikuwa singo maza hakuna moto niliowahi pitia kama ule mpaka nakuja pata tiba nishaumia sana
Uchawiii Unafanyiwaa huku unaangalia na wew unacheka tu???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom