Yamenikuta! Msaada Tafadhali...

Yamenikuta! Msaada Tafadhali...

Mimi imewahi kunikuta sema yeye alinifuta Kisha akajifuta halafu akachukua kile kitambaa akakifunga fundo tatu akaenda kukiifadhi anakojua jua yeye mbaya zaidi alikuwa singo maza hakuna moto niliowahi pitia kama ule mpaka nakuja pata tiba nishaumia sana
Hawa wanawake wanaturoga sana jamani tulinde shahawa zetu. Wanawake ni mashetani...tuwakwepe kama ukoma ila mbususu zao tugegede
 
Ulipaswa ujue dawa yake kabla ya kufanya jaribio. Sasa dawa ni hii tafuta mjusi wale wadogo wanaokuwa ndani, mkamate halafu tegesha boro lako kwenye mdomo wake alambe kidogo tu kitu inarudi kam mwanzo. Kila la kheri mwamba.
 
Habari wakuu.

Katika kupiga story juzi kati kijiweni ikaibuka story ya kuwa ukifanya mapenzi na mwanamke akatunia kitambaa chake kukufutia na kwenda nacho anaweza kukuloga.

Ambacho anatakiwa kufanya nikuchukua kile kitambaa alichokufutia na kukiweka chini ya mtungi! Then mzigo hausimami labda kwake tu.

Kutokana na U-Thomaso wangu nikasema ngoja nikajaribu nione Kaa hii kitu inafanya kazi kweli. Basi bhana ijumaa nikamwita mpenzi wangu Tukafanya ya kufanya nikamueleza na lengo langu lakutotaka kumcheat so anifute na kitaamba na andoke nacho akakiweke chini ya mtungi then mzigo hautosimama kwa mtu mwingne.

Alifurahi sana aliona kama na mpenda sana kumbe lengo langu ilikuwa kuona yanayosemwa Kaa nikweli au ni uongo.

Basi bhana Leo asubuhi nimemwita mpenzi wangu mwingne Ili nione Kaa ni kweli au ni uongo! Lakini Hadi sahivi navyoandika huu Uzi hapa mzigo umelala yoo! Haujaamka nimempgia yule mwanamke atoe kile kitambaa lakini naona ananijibu majibu ya kukatisha tamaa.

Najua humu jamiiforum Kuna wataraam wakubwa ambao wanaweza nisaidia nirudi kama kawaida! Nawakaribisha.

Nawasilisha.
Endelea tu na utafiti wako maana in any kind of research there must be solutions. Bado hujamaliza utafiti 🤣🤣
 
Ulipaswa ujue dawa yake kabla ya kufanya jaribio. Sasa dawa ni hii tafuta mjusi wale wadogo wanaokuwa ndani, mkamate halafu tegesha boro lako kwenye mdomo wake alambe kidogo tu kitu inarudi kam mwanzo. Kila la kheri mwamba.
Ndiomana nimemwambia hajamaliza utafiti au labda hauelewi nini maana ya utafiti na ili uitwe hivyo unacomprise vitu gani.
 
Ni U Tomaso tu wala sikuwa hata kwenye utafiti Mkuu.
 
Hii kitu sitakuja kuisahau nilishafanyiwa na demu la uswazi, lilikuwa limeshanijua mimi mzee wa kuchata then napita kushoto, nililiahidi kuwa nitakuja kulioa sina demu mwingine zaidi yako kumbe lenyewe linanizoom tu, siku ya siku niliita geto kwangu nikalipelekea moto mpka likataka kuzimia, likawa kama zombie lililokosa damu miaka mia, baada ya hapo likaniambia linataka kujua kama lipo peke ake nami nikalia"hakika upo peke ako sina mwingine" tunapiga story huku likifuta dhakari kwa kitambaa alichokuja nacho, sina hili wala lile, akasema kama kweli unamaanisha sawa.

Baada ya hapo likaondoka na kile kitambaa, mpaka kwao.

Siku moja nimepata demu mwingine nikawa nausongo upwiru umenishika mpaka basi nikasema leo huyu demu simuachi, nafika demu, nataka kupeleka moto, mkuyenge wala haushtuki, nikasema labda kupania huku, ikabidi niagane naye tu nikasingizia nimepata habari mbaya sana toka nyumbani..
Nikatafuta mademu kama wanne mambo ni yale yale, nikasema acha nimkumbuke G wangu, yaani yule demu aliyefuta ukuni wangu kwa kitambaa chake kujaribu naye ngoma hii hapa inasoma nyuzi 90, nikienda kwa wengina inasoma nyuzi 180, toka hapo nikajua mchawi ni nani, na nikaenda kwa shangazi yangu huwa ananijua tabia zangu za kupeleka mioto kwa watoto wa watu akaniamia umefanyiwa mchezo cha kufanya ni kumtafuta huyo dada, ilibidi niende kwa huyo mdada naye akaruka mile 200 hajui chochote, nikambembeleza sana na vifungu vya mathayo mtakatifu, mpaka nikapiga magoti... Likanichana sana kuwa niache kuchezea watoto wa watu kuna siku nitakuja kuwa hanithi wa kudumu, ndio akakubali kuniambia kila kitu, naye akasema alikuwa anajaribu kwangu kama itafanya kazi naye alimsikia mama ake kuhusu njia ya kutumia kitambaa kwa mme mzinzi..

Ilibidi nimpe laki moja kama shukrani zake kwa kunifungua ilo tego..

Baada ya hapo nilipumzika uchakataji..

Mbususu tamu wazee ile fedheha nilishasahu na sasa napeleka moto kama kama kawa, lakini tuwe makini kuna ukimwi pia.
 
Huu ni uongo

Ila najua kuwa usiruhusu mwanamke aindoke au aukufute na kitambaa chake na kuondoka na kutambaa iko wakuu wanaroga ili umuoe
Hii sio uongo, na kama ni uongo nenda kajaribu at ur own risk.
 
Mwambie aje upige show aje na kitambaa mjifutie tena ataondoka nacho ili kuimarisha lengo lako la kutomsaliti.. akija sasa na kitambaa fanya kila liwezekanalo asiondoke nacho
We unazan atakuja na kitambaa kile cha mara ya kwanza? Cha kufanya ni kumwambia atoe icho kitambaa, shida ni pale demu akiuliza kwanini atoe, pia atahisi lijamaa limeshaanza usaliti.
 
Hii kitu sitakuja kuisahau nilishafanyiwa na demu la uswazi, lilikuwa limeshanijua mimi mzee wa kuchata then napita kushoto, nililiahidi kuwa nitakuja kulioa sina demu mwingine zaidi yako kumbe lenyewe linanizoom tu, siku ya siku niliita geto kwangu nikalipelekea moto mpka likataka kuzimia, likawa kama zombie lililokosa damu miaka mia, baada ya hapo likaniambia linataka kujua kama lipo peke ake nami nikalia"hakika upo peke ako sina mwingine" tunapiga story huku likifuta dhakari kwa kitambaa alichokuja nacho, sina hili wala lile, akasema kama kweli unamaanisha sawa.

Baada ya hapo likaondoka na kile kitambaa, mpaka kwao.

Siku moja nimepata demu mwingine nikawa nausongo upwiru umenishika mpaka basi nikasema leo huyu demu simuachi, nafika demu, nataka kupeleka moto, mkuyenge wala haushtuki, nikasema labda kupania huku, ikabidi niagane naye tu nikasingizia nimepata habari mbaya sana toka nyumbani..
Nikatafuta mademu kama wanne mambo ni yale yale, nikasema acha nimkumbuke G wangu, yaani yule demu aliyefuta ukuni wangu kwa kitambaa chake kujaribu naye ngoma hii hapa inasoma nyuzi 90, nikienda kwa wengina inasoma nyuzi 180, toka hapo nikajua mchawi ni nani, na nikaenda kwa shangazi yangu huwa ananijua tabia zangu za kupeleka mioto kwa watoto wa watu akaniamia umefanyiwa mchezo cha kufanya ni kumtafuta huyo dada, ilibidi niende kwa huyo mdada naye akaruka mile 200 hajui chochote, nikambembeleza sana na vifungu vya mathayo mtakatifu, mpaka nikapiga magoti... Likanichana sana kuwa niache kuchezea watoto wa watu kuna siku nitakuja kuwa hanithi wa kudumu, ndio akakubali kuniambia kila kitu, naye akasema alikuwa anajaribu kwangu kama itafanya kazi naye alimsikia mama ake kuhusu njia ya kutumia kitambaa kwa mme mzinzi..

Ilibidi nimpe laki moja kama shukrani zake kwa kunifungua ilo tego..

Baada ya hapo nilipumzika uchakataji..

Mbususu tamu wazee ile fedheha nilishasahu na sasa napeleka moto kama kama kawa, lakini tuwe makini kuna ukimwi pia.
Kweli kabisa tuwe makini sana haya mambo mtu anaweza dhani story mpaka pale likukute...bila kuwaona wakuu hutegui mtego huo.

Mara mia upate ukimwi lakini sio kibamia kutokusimama nyuzi 90 ni mateso makubwa sana
 
Umebugi kumpigia simu, ilitakiwa umtembelee na zawadi anayoipenda halafu unadanganya danya anakupatia mfano kwamba nasikia kitambaa kile ukikifutia tena mambo yanakuwa bam bam lakini kwa sasa itabidi utumie nguvu nyingi maana anajua ameishafanikiwa
 
Mimi imewahi kunikuta sema yeye alinifuta Kisha akajifuta halafu akachukua kile kitambaa akakifunga fundo tatu akaenda kukiifadhi anakojua jua yeye mbaya zaidi alikuwa singo maza hakuna moto niliowahi pitia kama ule mpaka nakuja pata tiba nishaumia sana
Muelekeze TOMASO 🤣🤣🤣
 
Mkisema sana hii mbinu mtakoma wenyewe mana watoto wakike watajaribu tu kwenu.

Japo hujafafanua ni mtungi gani?
 
Toa Kodi vizuri mtungi gani huo Kuna mtoto wa Mama mkwe anasumbua sana
 
Habari wakuu.

Katika kupiga story juzi kati kijiweni ikaibuka story ya kuwa ukifanya mapenzi na mwanamke akatunia kitambaa chake kukufutia na kwenda nacho anaweza kukuloga.

Ambacho anatakiwa kufanya nikuchukua kile kitambaa alichokufutia na kukiweka chini ya mtungi! Then mzigo hausimami labda kwake tu.

Kutokana na U-Thomaso wangu nikasema ngoja nikajaribu nione Kaa hii kitu inafanya kazi kweli. Basi bhana ijumaa nikamwita mpenzi wangu Tukafanya ya kufanya nikamueleza na lengo langu lakutotaka kumcheat so anifute na kitaamba na andoke nacho akakiweke chini ya mtungi then mzigo hautosimama kwa mtu mwingne.

Alifurahi sana aliona kama na mpenda sana kumbe lengo langu ilikuwa kuona yanayosemwa Kaa nikweli au ni uongo.

Basi bhana Leo asubuhi nimemwita mpenzi wangu mwingne Ili nione Kaa ni kweli au ni uongo! Lakini Hadi sahivi navyoandika huu Uzi hapa mzigo umelala yoo! Haujaamka nimempgia yule mwanamke atoe kile kitambaa lakini naona ananijibu majibu ya kukatisha tamaa.

Najua humu jamiiforum Kuna wataraam wakubwa ambao wanaweza nisaidia nirudi kama kawaida! Nawakaribisha.

Nawasilisha.
Hizi ni shida za kisaikolojia basi hamna la zaidi ya hapo. Umepeleka mawazo na imani hiyo kwenye ubongo wako na bahati nzuri sana ubongo umeyapokea na kuyaprocess lazima upate matokeo tu.
 
Mkisema sana hii mbinu mtakoma wenyewe mana watoto wakike watajaribu tu kwenu.

Japo hujafafanua ni mtungi gani?
Kwa jinsi wanawake walivyo watu wa kuiga-iga, kusimuliana na kutaka kujaribu kila walionalo na kulisikia ingekuwa ishasambaa sana iyo mbinu, hiyo mbinu Ingekuwa inafanya kazi kweli kweli kama shuhuda za humu zilivyo basi HAKUNA MWANAUME YEYOTE ANGECHEPUKA.

Hizo ni shida za kisaikolojia tuu, woga na hofu zinazopandwa kwenye ubongo na akili ya muhusika na kuonesha matokeo kwa uume kutokusimama.
 
Habari wakuu.

Katika kupiga story juzi kati kijiweni ikaibuka story ya kuwa ukifanya mapenzi na mwanamke akatunia kitambaa chake kukufutia na kwenda nacho anaweza kukuloga.

Ambacho anatakiwa kufanya nikuchukua kile kitambaa alichokufutia na kukiweka chini ya mtungi! Then mzigo hausimami labda kwake tu.

Kutokana na U-Thomaso wangu nikasema ngoja nikajaribu nione Kaa hii kitu inafanya kazi kweli. Basi bhana ijumaa nikamwita mpenzi wangu Tukafanya ya kufanya nikamueleza na lengo langu lakutotaka kumcheat so anifute na kitaamba na andoke nacho akakiweke chini ya mtungi then mzigo hautosimama kwa mtu mwingne.

Alifurahi sana aliona kama na mpenda sana kumbe lengo langu ilikuwa kuona yanayosemwa Kaa nikweli au ni uongo.

Basi bhana Leo asubuhi nimemwita mpenzi wangu mwingne Ili nione Kaa ni kweli au ni uongo! Lakini Hadi sahivi navyoandika huu Uzi hapa mzigo umelala yoo! Haujaamka nimempgia yule mwanamke atoe kile kitambaa lakini naona ananijibu majibu ya kukatisha tamaa.

Najua humu jamiiforum Kuna wataraam wakubwa ambao wanaweza nisaidia nirudi kama kawaida! Nawakaribisha.

Nawasilisha.

CHAI!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom