Yamenikuta: Mapenzi mchezo mchafu

Kulikuwa hakuna great interaction between me and she,hivi kama unahisi ukitumia kiswahili utaeleweka sio utumie tu hichocho?=...**She haifany kazi kama pronoun kwa namna hiyo
Lugha ya kiundishi huenda ni haraka tu!
 
Hata sjaendelea kusoma mkuu,angeeandika tu kiswahili tungemuelewa..tatizo la madogo zetu wa leo wanajifanya wamesoma hata akiwa kidato cha pili tu....
Typing error
 
Endelea nae mtoto kakolea huyo si unajua watoto wa secondary zao kupima maji.
 
Haahaaa..kijana chipukizi..subiri kwanza machipukizi yakomae na uote na matawi ndio uanze hayo mambo..namaanisha soma kwanza utawakuta hao bado wanazaliwa.
 
Wewe unaonaje...
 
Unajinadi kuwa we ni shababi af unalalamika kupuuzi hivi au wewe shababi toleo LA mwisho kabisa
 
huyo atakuumiza roho tu,.... kabla ya kumuacha hakikisha umemlisha peremendee kwanza😀
 
Labda mi sijaelewa vizuri, uendelee kubaki nae vipi na ameshakuacha? Si alikutamkia kaa pembeni waachie wanaojua kupenda na kupendwa sa kwani una option tena hapo kuchagua? Au sababu kakutumia msg Kakumiss, si inawezekana anakumiss tu lakini sio kama mpenzi wake?

Bro huna chako hapo acha kupasua kichwa, tumia moyo wako kusukuma Damu mwilini na kichwa chako kuwaza mengine ya maaendeleo, achana nae
 
Now days hakuna mapenzi ya kweri wee acha nae na fanya yako, bila shule hakuna maisha, Kwann ukae wakati kakuzalau, mbona ma binti kibao lamba sepa
 
Ungepukiwa na nn kama ungetumia kiswahili peke yake....
 
Pole sana! Mahusiano yana milima na mabonde... Usikate tama! Wasichana stage hiyo wako rahisi sana kushawishika na marafiki... Ukute marafiki walimuonesha jinsi ya kupenda ila amegu dua wewe ndo sahihi. Msamehe tu muendelee.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…