Yamenikuta: Mapenzi mchezo mchafu

Naona kabisa kijana unamiminiwa UKIMWI sio muda mrefu , mwenzako kaenda kukanyaga mwiba sasa anataka akupe na wewe kitoweo just be awere!
 
Dah mada inajieleza sidhani kujua amemaliza lini itasaidia
itasaidia,nitaweza kukisia umri wa huyo girl,hii itasaidia kujua kama n mtoto au mkubwa,yawezezekana mkuu unatoka na mtoto wa primary ndo maana unakutana na hayo yaliyokupata
 
Unaonesha bado uko form two unahangaika na mapenz yatakutokea puan na hio elimu utaiskia kama mwangwi!!
 
Mh maneno yako yanaukakasi bado nampenda
kama bado unampenda humu umekuja kufanya nini?unatupotezea muda kujadili kitu ambacho umeshafanya maamuzi,utoto wako peleka shobo network(FB).
 
itasaidia,nitaweza kukisia umri wa huyo girl,hii itasaidia kujua kama n mtoto au mkubwa,yawezezekana mkuu unatoka na mtoto wa primary ndo maana unakutana na hayo yaliyokupata
Matured enough! Ila ndoivyo kiongozi galz sijua huwa mapepo hawatulii now dayz
 
Naona kabisa kijana unamiminiwa UKIMWI sio muda mrefu , mwenzako kaenda kukanyaga mwiba sasa anataka akupe na wewe kitoweo just be awere!
Nashukuru good idea bado naendelea kuchuja ila sidhani kwa hiyo la vvu
 
mleta post anaonekana bado ni mwanafunzi wa chekechea,humu anadandanya yeye ni mwanafunzi wa chuo,mwanafunzi gani wa chuo hajui matuminzi sahihi ya "she"
 
Unaonesha bado uko form two unahangaika na mapenz yatakutokea puan na hio elimu utaiskia kama mwangwi!!
Haki ya kupenda mnapotimiza miaka inayotambulika kisheria ya kila mmoja haijalishi sio kwamba siwezi kusoma bila galfriend ata mungu anasema "and we created you in pairs"
 
kama bado unampenda humu umekuja kufanya nini?unatupotezea muda kujadili kitu ambacho umeshafanya maamuzi,utoto wako peleka shobo network(FB).
Tuelewane nipo dilema, really nampenda ila nina option mbili ni mpige chini au kwawenye uzoefu nibakinae huenda aka badilika
 
Kulikuwa hakuna great interaction between me and she,hivi kama unahisi ukitumia kiswahili utaeleweka sio utumie tu hichocho?=...**She haifany kazi kama pronoun kwa namna hiyo
Halafu akaendelea mbele kwa "she confusing me"
 
Usirudi nyuma jikaze kisha endelea mbele...we mwache aende zake maadam hujambwaga wewe...kuwa na Amani jombaa
 
"sijui kupenda wala kupendwa kwa hivyo nikae pending wanaojua kupenda wanionyeshe"
 
Halafu akaendelea mbele kwa "she confusing me"
Hata sjaendelea kusoma mkuu,angeeandika tu kiswahili tungemuelewa..tatizo la madogo zetu wa leo wanajifanya wamesoma hata akiwa kidato cha pili tu....
 
Nikiangalia vizuri namna ya ulalamikaji wa mleta uzi unafanana na mdau fulani kuna wadau hua wanadai ni *****.
Anaambiwa muache anadai anampenda.
Endelea naye anadai "she confusing me".

Hapa mtakesha.
 
Sijasema nimwanafunzi
umesema ameanza kubadilika baada ya kumaliza shule.....NOTE anakuona wewe kama mwanafunzi mwenzake..........kwanza wewe hujasema umri wako,,, isije kuwa tunamshauri mvulana na sio MWANAUME!!!!
 
umesema ameanza kubadilika baada ya kumaliza shule.....NOTE anakuona wewe kama mwanafunzi mwenzake..........kwanza wewe hujasema umri wako,,, isije kuwa tunamshauri mvulana na sio MWANAUME!!!!
Umri nimemzidi hatuko sawa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…