Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 46,240
- 98,130
Pole aseeIliwahi nitokea ila bahati nzuri kaka angu mmoja alikuwepo..akapanda kwenye silingibodi ya stoo akatambaa hadi Usawa wa bafu akanirushia funguo..ila nilipiga kelele sana Siku ile