shansarie
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 5,690
- 3,370
Yamemkuta best yangu ameolewa hajui kupika.ilikuwa kama ka mchezo fulani ivi kila mume akirudi kazini anakuta chakula mezani bila kujua kinatoka wapi,mana hajawahi kumkuta mkewe akipika.
kumbe maskini mwanamke wa watu anapikiwa na jirani yake anamlipa, kila siku anajaziwa mahotpot zinakuja nyumbani kabla mume hajarudi. Mwanaume wa watu anakula chakula alichopikiwa na jirani yake
siku ya siku mume karudi mapema mdada hana hili wala lile mume kajilalia ndani, ghafla anasikia mkewe akipiga kelele mama rose vipi tayari hebu fanya fasta kabla mister hajarudi.kidume kikachungulia dirishani kucheck kunanini mkewe anachomficha mara anaona mahotpot yanapitishwa LOL,..... Mwanake wa watu kashtukiwa ikabidi mwanaume amfuate amuulize vipi hotpot zimetoka wapi mwanamke mimacho imemtoka ndoa imevunjika karudishwa kwao akajifunze kupika
we ungefanyaje?