Yamemkuta

Yamemkuta

nikikukaribisha kwangu siku moja
utagoma kurudi kwenu kwa mahanjumati
nitakayoandaa,mi nakwambia huyu alijua sitoona
hakiyanani atajuta atiii,akisafiri nitakukaribisha nyumbani
!!

wala siji..afu ujue we kwa pozi lako hilo hujui kupika kweli..talk to my shansarie yuko poa kila idara..mapishi yote! kasoro kababu tu!
 
Last edited by a moderator:
huyo mwanaume nae -----...wee mpaka unamuoa bado ujagundua kuwa hawezi pika?
au ndio zile unrealistic lifestyle za kula out kila mnapokutana....demu kila leo mnakula hotelini uje ssio mke huyo...inabidi akukaribishe siku mwennye asema nataka nikupikie
 
wala siji..afu ujue we kwa pozi lako hilo hujui kupika kweli..talk to my shansarie yuko poa kila idara..mapishi yote! kasoro kababu tu!

acha kushadadia mambo
ya ndoa za watu,baki na shushari wako
khaaaa babu we nitue!!hajanifikia hata robo
na kwa taarifa yako loya alikulenga wewe ulivyokua unahangaika
kutafuta nyumba ndogo hahahaaaaa!!
 
Malezi mengine bana, yani mtu mpaka unaolewa bado hujui kupika!! Aibuje!!

Hata simshangai huyo.mm nina best yangu hajui kupika kabisa.kaenda kwa mchumba wake mchumba anasema anahamu yakula chapati za maji.best hajui akaamua kupiga.nikamwambia awe anagoogle kile anachotaka kupika ajue hatua kwa hatua.anakwambia sasaivi nikienda najifanya nachat uku napika kumbe nasoma maelekezo yakupika
 
yani kutokujua kupika ndio amrudishe
mtt wa watu kwao?wengine wamekua hata chombo
hajui kuosha,alipaswa aende nae taratibu ikibidi amfundishe!!!
 
acha kushadadia mambo
ya ndoa za watu,baki na shushari wako
khaaaa babu we nitue!!hajanifikia hata robo
na kwa taarifa yako loya alikulenga wewe ulivyokua unahangaika
kutafuta nyumba ndogo hahahaaaaa!!

taratibu na mpenzi wangu jamaani
 
agewekla maji jiloni na mchele avue chupi aone ambavyo wali ungetoka mtamu...hata mchuzi jamaa asingedai
 
kiwatengu mpenzi nani kakwambia sijui kupika kababu is just not ma favorite
 
Malezi mengine bana, yani mtu mpaka unaolewa bado hujui kupika!! Aibuje!!

Ndio yale yaleeee....ya kuachia kazi zote housegirl huku watoto wakibadilisha tu cd au channel sebuleni huku wanauliza...'chakula bado?'
 
Yamemkuta best yangu ameolewa hajui kupika.ilikuwa kama ka mchezo fulani ivi kila mume akirudi kazini anakuta chakula mezani bila kujua kinatoka wapi,mana hajawahi kumkuta mkewe akipika.

kumbe maskini mwanamke wa watu anapikiwa na jirani yake anamlipa, kila siku anajaziwa mahotpot zinakuja nyumbani kabla mume hajarudi. Mwanaume wa watu anakula chakula alichopikiwa na jirani yake
siku ya siku mume karudi mapema mdada hana hili wala lile mume kajilalia ndani, ghafla anasikia mkewe akipiga kelele mama rose vipi tayari hebu fanya fasta kabla mister hajarudi.kidume kikachungulia dirishani kucheck kunanini mkewe anachomficha mara anaona mahotpot yanapitishwa LOL,..... Mwanake wa watu kashtukiwa ikabidi mwanaume amfuate amuulize vipi hotpot zimetoka wapi mwanamke mimacho imemtoka ndoa imevunjika karudishwa kwao akajifunze kupika

we ungefanyaje?
watu wanasemaga wanawake hampendani? sasa wewe unamuita huyo best yako kwa nin usimfundishe kupika badala ya kuleta maneno hayo huku halfu inaonesha kama unafurahia flani hivi daaah..kama ni best yako msaidie sasa alaaahhh
 
jamaa alichukua maamuzi ya haraka kwani mke ni zaidi ya mapishi jamani.
 
watu wanasemaga wanawake hampendani? sasa wewe unamuita huyo best yako kwa nin usimfundishe kupika badala ya kuleta maneno hayo huku halfu inaonesha kama unafurahia flani hivi daaah..kama ni best yako msaidie sasa alaaahhh

yuko kwenye darasa tayari maendeeleo ni mazuri sana ni mwanafunzi mzuri.Lyamber
 
Mbona wapo wanawake wengi wasiojua kupika? Hivi unaweza kumtaliki mke kwa sababu hajui kupika kweli? Kuweni serious na muache kuexaggerate!
mimi natalaki mke wa aina hiyo maana kwa mtu wa aina hiyo kuna mengi nyuma ya pazi ambayo ya mejificha inakuwaje asijue kupika?
 
jamaa alichukua maamuzi ya haraka kwani mke ni zaidi ya mapishi jamani.

Mapishi ndokila ki2.mm nina mama yangu mdogo alipata mume kwaajiri yakupika.walikuja wageni hm kwao mama yangu mdogo huyo alipika chakula mpaka mgeni mmoja uvumilivu ulimshinda.ikabidi aseme anaomba kumuona aliyepika alipoonyeshwa akasema mm nika mdogo wangu anataka mke nadhani ww utamfaa.aliomba picha akapewa mwanaume alivyoenda kuonyeshwa nae akampenda mwanamke.mwanaume alikuwa anaishi Arusha na mwanamke dar.mwisho wake wakafunga ndoa.nampaka leo ndoa yao haijawai kuvunjika na wanawatt 3.wawili mapacha wapo form six.na wamwisho std3.so huwezi kwenda kwamume ukampikia mimaji badala ya mchuzi.wanaume wengine hawapendi shida.
 
Mwanamke hajui kupika anajua nini sasa. Yeye ni kukaa kwenye Tv mwanzo mwisho, mwanamke janga hilo. Sijui la wapi hilo janamke?
Yaani mimi ntampa taraka siyo chini ya 700 zingine akagawie ndugu zake plus mama yake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom