Ni kweli adhabu hailingani na kosa lenyewe lakini ukweli ni huu huyo mwanamke naye alitakiwa kujifunza kupika na labda kilichomponza zaidi ni uvivu.yani kutokujua kupika ndio amrudishe
mtt wa watu kwao?wengine wamekua hata chombo
hajui kuosha,alipaswa aende nae taratibu ikibidi amfundishe!!!
Ni kweli adhabu hailingani na kosa lenyewe lakini ukweli ni huu huyo mwanamke naye alitakiwa kujifunza kupika na labda kilichomponza zaidi ni uvivu.
mimisa
hivi umeshawai kufikiri kuwa hata vilio tunavyo viona humu jamvini waume kutafuta nyumba ndogo vinachangiwa na baadhi ya wana jf kutojua kupika hasa wanawake? wengi wana fikiri kitanda ni suluhu pekee ya ndoa kumbe pengine nyumba ndogo zina jali mapishi na nidhamu ya kupika. sijawai kuona faid ya hizo wanazo ziita kitchen party zaidi ya kudanganyana kuhusu vitanda alaf mwisho wa siku vilio kila leo.
Niko tayari kuondoa maneno yangu kamaitahitajika.
acha kushadadia mambo
ya ndoa za watu,baki na shushari wako
khaaaa babu we nitue!!hajanifikia hata robo
na kwa taarifa yako loya alikulenga wewe ulivyokua unahangaika
kutafuta nyumba ndogo hahahaaaaa!!