chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 19,689
- 22,703
Habari wakuu,.
Ni katika kikao cha bunge leo Mjini Dodoma Mh. Membe akijibu maswali ya wabunge,.
Akijibu swali kuhusiana na safari za Mh. Rais Jakaya Kikwete,.
''Kasema Rais anapata Safari za Nje mara kwa mara ni kwa sababu anatambulika kimataifa hivyo hawezi kukaa ndani ya nchi bila kusafiri na ikitokea hivyo basi Mh. Rais atakuwa anaumwa hivyo siyo Jambo la kawaida kukaa ndani ya nchi kwa muda mrefu bila kusafiri''
My Take, Kuna Ukweli wowote kuhusiana na maelezo ya Mh, Membe?
Je majibu yake yana mashiko?
Nawasilisha,..