yaliyonisibu naombeni msaada kwa hili

Kwanza unajua kama udukuz ulioufanya ni kosa???Nakushaur uachane nae huyo hakufai utapata unachostahili sio unachokitaka
 
Daa aisee pole sana..watu wa namna hiyo huchukua muda mrefu sana kuwabadilisha..Tiba ya kisaikolojia ndio inamfaa zaidi..

Kuhusu hiyo Siri, sidhani kama muda huu ni sahihi kumuelezea

Ila usihofu, hiyo hali inatibika na atapona kabisa cha msingi tafuta wataalamu wa Saikolojia wakusaidie ( Hii itawezekana endapo yeye mwenyewe atakubali ukweli na ataridhia kubadilika, kinyume na hapo itakuwa tabu sana)
 
Wazazi wanajua mtoto wao anasoma chuo kumbe anayoyafanya ni aibu tupu. Soma kijana Those underwear are of no good for you.
 
Napendaga niwe kwa kwanza kureply sema hii imenipita...

Mwambie hivi NASHUKURU KWA YOTE NA NIMEKUSAMEHE KWA KUNIKATALIA KWA MUDA WOTE,LAKIN NMEGUNDUA SABABU ZA KUNIKATAA KWAKO KWAMBA WEWE NI MSAGAJI NA HASA UNAMSAGA FULAN LAKIN KWA SABABU UAMUZI WAKO SIO VIZUR KUA NA TABIA HYO. KUANZIA LEO TUHESHIMIANE NA KAA MBALI NA MIMI bas unamwacha zake nanmaisha yake aliyoyachagua.
 
Una moyoo !kufwatilia mawasiliano ya mtu unayempenda,usije kujaribu tena utakufa siku si zako
 
Njia pekee ya kumbadilisha ni yeye kutambua kuwa anavyofanya siyo sawa na akubali yeye mwenyewe kubadilika
 
Hiyo kakurembeshea jibu kabisa.

Mwingine nilimtokea (alikuwa mzuri sana), jibu alilonipa nilibaki naduwaa.

Chalii vunga, mimi nina demu wangu.
 
Achana nae kwa sababu kuna kundi kubwa la watoto wa kike wazuri watakaovunja ungo mwakani! Kwa hiyo naamini huwezi kukosa mmoja wapo! Halafu siku nyingine unapomtaka mwanamke yoyote hakikisha unamjengea mazingira ya kukuamini kuliko mtu mwingine kabla ya kufanya shambulizi la aina yoyote...........
 
mapenzi kama mgomba...popote hujiotea..ila usife moyo..waweza kumbadilisha akawa mwanamke mzuri japo huenda ikachukua muda..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom