Yaliyonipata nimeamini mke wa mtu ni sumu

Yaliyonipata nimeamini mke wa mtu ni sumu

Vianaume vya mikoan ni vibwege sana yaan vinakarbishwa na mwanamke
 
Sasa mkuu hao jamaa walitumia kinga au walienda kavu, maan Wanaume wa dar wanalemaga hayo mambo kinga haifaagi
 
Uliposema kitunda ukarib stories nzima,..wale washashi wangekugecha mpak usingeongea chochote mwezi mzima
 
Safi sana, siku nyingine watu kama ninyi dawa nikuwapruni masikio tuu!
 
kitunda iliwahi tokea hii story 2016 kijana mwanafunzi wa cbe alichofanywa sijuh kama uume wake upo active mungu atusaidie tamaa mbaya
Kitunda ipi mkuu embu mwaga darasa hapa watu wajifunze
 
Acheni ungese mnalazimisha aseme nini vitu vingine sio vizuri kuelezea umati kwanza tigo yake inauma mnoooo muacheni akipona atupe mrejesho au vipi kijana wangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom