maoni yako yamepokelewa na nayaheshimumashudu......watunzi wa story wangekuwa kama wewe....... ningekuwa waziri ili nifungie huo ujinga
Marinda vipi hawajafumua?? Najua utasa hawajafumua, ni siri yako!yeye si alinikatia bima ya majanga kumbe ilikuwa fake
mbona maswali tata sasa mkuu kwenye public nitaliwa vpMarinda vipi hawajafumua?? Najua utasa hawajafumua, ni siri yako!
Nikumbushe mkuuNaamini hii story kuna sehemu nyingine umeiruka,pole sana
Nadhani ni rafiki wa adui yako namba moja JFHii ni Chai ya rangi iliyokosa viungo
inasikitisha ila imenichekesha kiukweli...nime'imagine
au tia utiweNdo mambo ya jaza ujazwe