Yaliyonikuta leo

Ungempigia wakili wako , polisi wange kuacha na dada angeongeza angalau milion zingine mbili hivi!:argue:
 
Kuna kauongo ndani yake thats why nasema si kweli coz wadada huwa wanaweka visimu vyao katika hivyo vipochi. Hebu edit tena hiyo longolongo yako. Bongo watu ni wepesi sana kuamini thats why kuna dini nyingi sana.
 

hahahaahahaa....FUNDI wewe ni mwana philosophy no doubt....
 
POLISI;pumbafu na akiri zako mbofu utaendelea kusota humu.tena we ndo kna RB yako hapa ni maarufu sana tandare yote kwa wizi wa kuku!
 
brother umenchekesha sana na wakati mwanzo ilikuwa naona huruma iabidi ncee tu any way kwa leo ndio nimecheka sana na kufurahi hahahahah
 
Kipigo chote unataka jero tu mkuu!! Ningekua polisi ningeendeleza kichapo heheheeeee!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…