Mkuu acha uchocheziZenziberi
Wamewakilishwa na LipumbaMkapa na kikwete wako wapi?
Kama hawa ndo makomando wetu na wasiwasi nao.Me too, I am terribly dissapointed!!
Sawa mkuu.Zenziberi
Issue kumbe ni itifaki? ok mkuu nikuelewa.Nashukuru kama na wewe umeliona!
lazima itifaki izingatiwe!
Kanifuraisha sana kwa kweli atakuwa mkurya huyu.Anaitwa afande Kiwi
Sasa kitu ipo free kwenye Tambalale, kama ni muumini mzuri wa Dona unategemea nini? si kama kumsukuma mlevi.Mkuu umewaona hao wanasukuma iveco wako wawili tu
Jamani kama heading inavyosema, leo kwenye uwanja wa Uhuru kuna maonyesho yanafanyika, yanajumuisha gwaride la majeshi jwtz, polisi na magereza.
Niende kwenye kiini, Mimi leo katika maonyesho haya nimevutiwa sana na kikundi cha guard ya kimyakimya( silent guard)
Sio siri wamefanya vizuri sana hasa katika mambo yafuatayo:
1. Mageuko(turning), Mara zote wamegeuka kikakamavu sana na wanakata upepo balaaa
2. Jinsi ya kukondamachi( yaani msitari mmoja unaingia kwenye mistari mingine ili kupanga guard kuendana na urefu yaani watu wa mbele wabakie walewale na right marker abakie yuleyule, safi sanaaaa
3. Namna ya kubadilishana silaha, wamefanya kitendo hiki kwa uharaka na ukakamavu na bila kukosea(accuracy)
4.kwenye kunyoosha mistari wamefanya wonders, hongeraaaaa
5. Kiongozi wao Lt. Kilawe yule Dada mwenye kitala ameonesha ukakamavu safi sanaaaa
Hongera zao silent guard ya jwtz (infantry soldiers)
Najua kuna mengine umeyaona mwana jf karibu uyaweke hapa
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeniii
Hawa wanajua sana aliko benGENTAMYCINE Yupo Kambi ya Malindi atakuwa anajua Ben Yupo Wapi.
Ninayo video kwenye facebook na whtappKwata ya kimya kimya ndio gumzo
Sizani kama ule mziki watauweza, wataenda mwezini washindwe kurudiHivi hakuna makomandoo wa kike?
Inawezekana ikawa ni kiribatumbo lakiniIla kama Fidel Castro atafufuka leo, anaweza akafa tena kama atamuona yule Komando wetu mwenye Kitambi.
Komando unakuaje na Kitambi???
Teh Teh....umejuaje Diva BeyonceKanifuraisha sana kwa kweli atakuwa mkurya huyu.