Yaliyojiri: Mkutano wa Dr.Slaa Kyela

Yaliyojiri: Mkutano wa Dr.Slaa Kyela

Mvua ni dalili njema, ni Baraka sana wakuuuuuuuuuuu!!! Piga hao mpaka kieleweke!!! Go Daktari wa ukweli aliyesoma kuliko hao wanaopewa wa uheshima wakati walipata degree ya pass, karibia na mstari wa kudisco!!
 
Mungu ana makusudi yake kuleta hiyo mvua hapo, labda anaepusha watu wake kulaghaiwa na huyu Padri aliyeikana ROZARI.

Hauna udhu, wewe ni najisi, yaani CHOO a.k.a MSALANI ak.a TOILET/LATRINE a.k.a kishimo cha takataka
 
zege halilali,spika zimeingia maji ila mambo ndo yanaanza, sugu anapanda jukwaani ila spika ndo zimeloga tena ila mkutano unaendelea na kadi zinauzwa kama njugu.nitaleta updates

kamanda MUNGU AKUBARIKI SANA kwa kutulea live kutoka frontline bila kujali mvua .
 
Mungu ana makusudi yake
kuleta hiyo mvua hapo, labda anaepusha watu wake kulaghaiwa na huyu
Padri aliyeikana ROZARI.
Acha kashfa wewe au mbu walio kuuma jana ndo bado wanakuchanganya.
 
sugu anaanza kuongelea zao la kokoa ambalo serikali imeshindwa kuwekeza ktk viwanda na hata wawekezaji kuweka na kuunda viwanda vya kusindika kokoa ,akitolea mfano wa liberia na ivory coast.pia anaongelea kuhusu uwekezeji ktk uvuvi,kilimo,na kadhilik
 
Dr. Slaaa na CDM gooooooo!!! semeni wazi SSM imelea gongo isiyo na kiwango kila siku wanywaji wanapata maafa. SSM miaka 50 na ushee hamjaona hili janga. Sasa itafanyiwa viwango na packaging na CDM!!!! Mnajidai nini hamkijui wakati konyagi ni gongo iliyo na viwangoo????Tena italeta na Revenue maana East Africa ingekuwa ni soko kubwa. Dr Slaa ana akili sana. Naomba apewe uprofesa wa heshima.
 
vyote vya mpango wa mungu mvua na chadema, so hakijaharibika kitu
 
mzee sijui kaenda kufanya nini kyela mwaka jana alienda akavunja uongozi wote wa kyela akaweka kundi lake walimwambia hawamtaki tena kumuona kyela.
 
zege halilali,spika zimeingia maji ila mambo ndo yanaanza, sugu anapanda jukwaani ila spika ndo zimeloga tena ila mkutano unaendelea na kadi zinauzwa kama njugu.nitaleta updates

kamanda ungenijulisha mapema ningeleta maturubai ili kulinda SPIKA , MAANA MKUTANO UNAPIGWA KARIBU NA HOME KABISA !
 
kyela1.jpg kyela1.jpg
 
sugu anaanza kuongelea zao la kokoa ambalo serikali imeshindwa kuwekeza ktk viwanda na hata wawekezaji kuweka na kuunda viwanda vya kusindika kokoa ,akitolea mfano wa liberia na ivory coast.pia anaongelea kuhusu uwekezeji ktk uvuvi,kilimo,na kadhilik

Shikamo kamanda Sugu. Kalumbu Gooooooooooooooooooooooooo!!! wapewape vidonge vyao, wakimeza, wakitema shauri yao. Asante sana Sangas.
 
mhh kyela kuna wachawi sana..yaani nina uhakika hiyo ki kamati ya ufundi tena ya wazee toka kule katumba songwe...hatariiiiiii kwa ndumba

Teh teh kigogo bwana! na si ndo huko alikojenga mh.
 
Dr. Slaaa na CDM gooooooo!!! semeni wazi SSM imelea gongo isiyo na kiwango kila siku wanywaji wanapata maafa. SSM miaka 50 na ushee hamjaona hili janga. Sasa itafanyiwa viwango na packaging na CDM!!!! Mnajidai nini hamkijui wakati konyagi ni gongo iliyo na viwangoo????Tena italeta na Revenue maana East Africa ingekuwa ni soko kubwa. Dr Slaa ana akili sana. Naomba apewe uprofesa wa heshima.

kwahiyo leo mtakunywa gongo mpaka muoge naona mwaasisi amekuja kuwaongezee nguvu leo lazima mjue inavyotengenezwa.
 
Muda mfupi baada ya kuwasili dr. slaa na msafala wake imeshuka mvua kubwa ikiambatana na radi na kusababisha mkutano wake kusitishwa kwa muda, mpaka hakuna taarifa rasmi zilizotolewa na uongozi wa chama (w) kama ziara hiyo itahairishwa au lah. wachunguzi wa mambo wanasema kutokana na mvua hiyo ujio wake umekuwa wa neema kutokana na wakazi wengi wa hapa wanategemea kilimo na wengine wamesema vigagula vya chama huenda wameshafanya yao hiyo ni kukubalika kwa chadema wilayani hapa source: Kifimboplayer

Mungu atakuwa anamsafisha padre ile dhambi ya kuiba mke wa mtu na kumpa mimba mwanamke sawa na mtoto wake. Au labda ni ishara kuwa Josephine ni mjamzito tena
 
Kwanin hakuja jumamosi ningefrai kuwepo apo, ila nawatakia wanakyela mkutano mwema
WANAKYELA ujio wa DR SLAA NI KAMA BARAKA KUTOKA KWA MUNGU , TUITUMIE ZIARA YA MKOMBOZI DR SLAA KUIKOMBOA WILAYA YETU , WANA BUJONDE , NGONGA , MBAKO , KILASILO , KABANGA , KATUMBASONGWE , ISAKI , BODA , KAJUNJUMELE , NKUYU , NGYEKYE , IPINDA , MATEMA , IPANDE NK HII NDIYO NAFASI YENU YA KUMG'OA MKOLONI MWEUSI CCM , NDAGA FIJO GWE NKAMU GWETU WILBROD SLAA , KYALA AKUTULE FIJO !
 
Back
Top Bottom