Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,540
- 284,045
mzee sijui kaenda kufanya nini kyela mwaka jana alienda akavunja uongozi wote wa kyela akaweka kundi lake walimwambia hawamtaki tena kumuona kyela.
acha unafiki na uzandiki , mambo ya cdm hayakuhusu , umeambiwa kuna nyomi ya kufa mtu , kama hawamtaki wamekujaje ?