Yaliyojiri Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar) Juni 9,2012

Kaunga lets go....lets go.....there is nothing here....this meeting was much trumpeted but alas, I am confused as to what they really wanted to achieve

I know, yaani hata hao mawaziri walikuwa hawajui wanachopaswa kufanya/kuongea nini!

Wengi wao bila kujua wameishia kuilaumu serikali ambayo wao ndio watendaji na wasimamizi.

Kidogo Wasira alikuwa anajua anachokifanya ambacho ni mipasho!

Twende zetu bana, maana l am thirsty already!
 
Last edited by a moderator:
Bili kujua nini wanachokifanya katika mkutano wa leo wafuasi wake walionyesha kuwa chadema kuwa ni chama makini walishangilia kwa berela ya cdm mbele ya nape nauye na viongozi wengine
 
wewe ni mgonjwa tena wa akili, ubaya wa ccm si wa kusubiri uambiwe, unaona mwenyewe tu. ila kwa vile wewe ni mgonjwa ndiyo maana huoni unasubiri uambiwe.
 
watu ni wengi wengi mno karibu jangwa litafunikwa kwa wingi watu nikifanya tathmini ni mara 3 ya mkutano waliofanya chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kweli CCM bado inapendwa na inawanachama na wapenzi lukuki, na kama ni hivi safari ya kuitoa CCM madarakani bado ni ndefu mno, labda kwa sababu chama hiki hakina udini wala ukabila tofauti na vyama vingine ndio maana watu bado wana imani na CCM?

Hapo ndio tunapotofautiana CCM na CDM, CDM huwa hawaropoki na wakiweka kitu wanaweka na ushahidi, sasa wewe hayo maandishi yako ukweli utajulikana vipi kama sio umbayuwayu.
 
attachment.php
 
Hakika viongozi wa Nchi mawaziri wenye dhamana wanaenda kueleza yale yale wanayojibu bungeni kila siku je hatima ya maisha magumu ya watanzania ndio yaliyoelezwa leo? Ni kupoteza muda tu
 
Mwanadamu kweli ni kiumbe mbaya sana. Yaani unamfanaisha mwenzako na sokwe??!!. Ila namsifu Wassira ni mwanasiasa hasa, angekuwa mvamia fani kama walivyo wengi angeishachatuka!!.

Big up Wassira nakukubali sana kwenye uvumilivu wa siasa kwani hata Bush aliishawahi kuchorwa vibaya sana akiwa na Osama (Rest In Sea - (RIS)).


Nilijua Wassira hatatoka salama JF kwa jinsi alivyomtandika Mbowe
 
Sasa hivi kutoka Jangwani, Wasira anamwambia Mbowe kwa kumtaja jina, si kwa kukisia, anawajuwa wazee wake "walivyoshirikiana na Nyerere" katika harakati za Uhuru, asiwa-kufuru "wazee wake wawili" walitangulia mbele za haki. "Kama anabisha aje hapa aeleze".

Hili ni Bomu la mwaka.

Waislaam humu tukimwita mtu kafiri huwa tunashambuliwa, leo Wasira kathubutu "live" kumwambia Mbowe ana kufuru. Anaekufuru ni nani? Jibu: Kafir.

Zomba,

..Conclusion yako ina mushkeli kidogo.

..Wassira hakumaanisha "kufuru" ktk masuala ya dini/imani alikuwa akizungumzia masuala ya siasa.
 
Kwa kauli kuwa CCM wanaukimbia uwanja wa Jangwani kwa kuwa hawajazi watu na wanawanachama wachache ambao hawawezi kuja kujaza jangwani.,mbowe hukuwa sahihi.,sitakulazimisha kukubali kwa maneno yangu, bali angalia kwa macho yako na kisha kubali kwa nafsi yako kuwa CHADEMA kuwa level ya CCM ni baadae saaaaaana.View attachment 55896

Picha yenyewe kwanza ni ya kuunga-unga, pili ni ya 2005 ile siku yule jamaa alipodondoka hadharani kwa mara ya kwanza ikawa....AIBU!!
 
Chama kikishindwa uchaguzi wa 2015 mimi nipelekwe jela kwa kifungo cha maisha bila kuisumbua mahakama, yani nitoke lumumba moja kwa moja Segerea.

Chama Cha Mafisi. Kitashindwa 2015 na wala usiseme kuwa utakimbilia segerea kwa sababu ya kushindwa ila utakimbilia Segerea kabla ujakamatwa kwa ajili ya ufisadi unaoufanya sasa. Hivyo mjiandae kukimbia nchi tunajua tayari mna Passport mbili2. ya Senegal yanahamia Tanganyika 2015. Watanganyika hatutakubali kuwaona mkitanua na mali mliotuibia hapo hapana lazima sheria ichukue haki yake. Awe rais mstaafu awe nani ni sheria tu
 
Wana jamii!Kwenye TV kutoka Jangwani Dar naona wana CHADEMA wengi wanarudsha kadi za CDM, hivi wako serious au ni utani?
 
Chadema bado wana safari ndefu sana kuingia magogoni.sasa ndo wataona umati wa watu mkutanoni hautoi uhakika wa ku?hinda uchaguzi.
 
Wao wanachana sisi tunajenga chama tunafungua matawi nchi nzima.
 
ukweli unabaki palepale. You prayed ili watu wasiende. Sasa wameenda. Angalia mechi.
 
Too low......

Kwa nini tusishindane kwa HOJA badala ya Kudhalilishana mtani?.......

Kumbuka Wassira ana watoto kama wewe,sidhani kama wanajisikia vizuri kumuona baba yao akiwa katika hali hii uliyomuweka wewe......

Sasa si ndo zake? acha unafiki wa kisisiem, yaani huyo mnyama wa gombe ndo jembe lenu,kweli hii ndo bongo,from gombe to parliament!
 
Back
Top Bottom