Yaliyojiri mechi ya Yanga Vs Simba Feb 20, 2016 Yanga yapaa kileleni

Watu wa simba bwana...! Eti ukiwaulizia "Vipi matokeo" wanasema "shule za private zinaongoza"
Tutegemee hilo nalo kuibuka kwenye bunge la mwezi wa nne. "Mh. Spika tunapozungumzia wawindaji haramu hata Yanga wanahusika, tumeshuhudia wakiua Simba uwanja wa Taifa na hakuna hatua zozote zilizochukuliwa.
Spika: Waziri wa maliasili na utalii msjibu!
Waziri: Mh. Spika napenda kuhakikishia bunge lako tukufu kuwa simba kuliwa na Yanga ni halali na wana kibali cha kumwinda kwa zaidi ya miaka 80 sasa.
Wabunge: makofi wawaaaa wawaaa wawaaa!!!
kipofu kaona mwezi!mnyama amewagaragaza miaka mingapi?
 
S
I
M
B
A

K
A
P
A
K
A
T
W
A

Yule Dada ni refa flani ivi amazing........
 
Wapi we uyo refa ana kadi ya yanga kabisa kwenye mechi ya yanga na mbeya city alikosolewa sana na wachambuzi kama Leo tu kashindwa kumuona Abdul alimvosodoa mkude palepale nyuma yake
Uliona upumbavu aliofanya Mkude kwa Tsmbwe badala yake Tambwe akaishia kupewa kadi njano?
 
Wapi we uyo refa ana kadi ya yanga kabisa kwenye mechi ya yanga na mbeya city alikosolewa sana na wachambuzi kama Leo tu kashindwa kumuona Abdul alimvosodoa mkude palepale nyuma yake
Kwani huyo refa ana macho kisogoni mpaka amuone mtu wa nyuma yake??
 
Nimepoteza furaha yangu niliyokuwa nayo tokea mwaka huu ulipoingia... Nimemchapa makofi mpenzi wangu kwa hasira za kufungwa na yanga na kusababisha nishikiliwe kwa muda kituo cha polisi kigamboni... Nimekimbia kwa muda ninapoishi kuwakwepa mashabiki wenzangu.. Licha ya yote hayo lakini bado naipenda simba, nitaipenda na kamwe sitaacha kuipenda. Mungu nisaidie
 
Usiwaze mchezo wa simba,yanga ni kama Resling matokeo yake hupangwa sababu kinachoangaliwa zaidi ni maslahi
 
Nimepoteza furaha yangu niliyokuwa nayo tokea mwaka huu ulipoingia... Nimemchapa makofi mpenzi wangu kwa hasira za kufungwa na yanga na kusababisha nishikiliwe kwa muda kituo cha polisi kigamboni... Nimekimbia kwa muda ninapoishi kuwakwepa mashabiki wenzangu.. Licha ya yote hayo lakini bado naipenda simba, nitaipenda na kamwe sitaacha kuipenda. Mungu nisaidie

Utakuwa huna akili timamu
 
Mabinwa watetezi wa ligi hiyo timu ya Yanga wanaongoza kwa kuwafunga watani zao Simba wakiwa wameshinda mechi 31 kati ya 81 wakati Simba wao wameifunga Yanga kwenye mechi 23 kati ya 81 huku mechi mechi 27 kati ya 81 zikiwa nisare.
Safi kabisa na pia ndoo tumenyanyua kwapa mara 25 wao 18.
 
Nimepoteza furaha yangu niliyokuwa nayo tokea mwaka huu ulipoingia... Nimemchapa makofi mpenzi wangu kwa hasira za kufungwa na yanga na kusababisha nishikiliwe kwa muda kituo cha polisi kigamboni... Nimekimbia kwa muda ninapoishi kuwakwepa mashabiki wenzangu.. Licha ya yote hayo lakini bado naipenda simba, nitaipenda na kamwe sitaacha kuipenda. Mungu nisaidie
Wewe..,,, ni ZUZU
 
LAANA YA KEERY INAWAVUA CHUPII

ALISEMA SHIDAA SIOOBKOCHA WACHEZAJI AWAJITUMI

AWAKO SERIOUS

KAZIKWAKO MAYANJA USEME AWAJUI KISWAHILI
 
Back
Top Bottom