Yaliyojiri mechi ya Yanga Vs Simba Feb 20, 2016 Yanga yapaa kileleni

nadhani wewe utakuwa kichaa kabisaa maana hujui simba inanafasi gani moyoni mwangu

nadhani wewe utakuwa kichaa kabisaa maana hujui simba inanafasi gani moyoni mwangu
081cb8873602d95edc9ce69cc2d962e2.jpg
 
Fikiria kama refa asingempa kadi nyekundu Benjamin Massing wa Cameroon aliyemfanyia faulo CANIGIA wa Argentina world cup ya mwaka 1990 inchini Italy angeeleweka?

Hizo makocha huziita ni technical foul sawa na aliyoifanya Abdi Banda akapewa kadi nyekundu juzi

Ni lazima ufanya faulo hiyo vinginevyo mshambuliaji anaenda kuonana na kipa, kitu amacho ni aibu heri lawama kuliko fedheha

Refa Jonesia alikuwa sahihi kabisa kutoa ile kadi nekundu na beki Abdi Banda alikuwa sahihi kumkata forward Ngoma
 
JE RAFU ALIYOCHEZA JUMA ABDUL,MBUYU TWITE HAZIKUWA RAFU,MWAMUZI ALITOA KADI?KUANZIA NDIPO ALIPOSHINDWA KUSIMAMIA MCHEZO,NA HII NDIYO TABIA YA WAAMUZI WA TANZANIA WANATUHARIBIA BMPIRA NA KUPOTEZA RADHSA YAKE.
 
SIMBA ACHENI VISINGIZIO. KIWANGO CHENU MWAKA HUU KIKO CHINI HATA KARIAKOO YA LINDI INAWAFUNGA.
SUBIRINI 2023 NDIO MSHIRIKI MASHINDANO YA VILABU AFRIKA PERIOD
 
JE RAFU ALIYOCHEZA JUMA ABDUL,MBUYU TWITE HAZIKUWA RAFU,MWAMUZI ALITOA KADI?KUANZIA NDIPO ALIPOSHINDWA KUSIMAMIA MCHEZO,NA HII NDIYO TABIA YA WAAMUZI WA TANZANIA WANATUHARIBIA BMPIRA NA KUPOTEZA RADHSA YAKE.
Vipi mbona huzungumzii Rafu iliyofanywa na Hassan kessy, Je hukuiona ile penal waliyonyimwa YANGA?
 
NA NDIYO MAANA ITAFIKIA SEHEMU WAAMUZI WA MECHI YA SIMBA NA YANGA WATATOKA NJE YA NCHI,HIYO RAFU YA KESSY ILIKUWA YA MUDA GANI,BAADA YAA KADI NYEKUNDU KUTOKA AU KABLA?TATIZO LA SOKA LA NCHI HII LINAMALIZZWA NA UJANJA UJANJA WA KUAPATA MATOKEO NJE YA UWANJA NA NDIYO MAANA MWISHO WA YANGA NI RAUNDI YA PILI KATIKA MASHINDANO YA KIMATAIFA
 
HIYO RAFU YA KESSY ILIKUWA YA MUDA GANI,BAADA YAA KADI NYEKUNDU KUTOKA AU KABLA?TATIZO LA SOKA LA NCHI HII LINAMALIZZWA NA UJANJA UJANJA WA KUAPATA MATOKEO NJE YA UWANJA NA NDIYO MAANA MWISHO WA YANGA NI RAUNDI YA PILI KATIKA MASHINDANO YA KIMATAIFA,KAMA ILIKUWA TAYARI KADI NYEKUNDU ILIKUWA IMESHATOKA ALIONA HAKUNA HAJA KAZI YAKE KUIDHOOFISHA SIMBA ALISHAMALIZA NA MATUNDA YALISHAOONEKANA KWA YANGA,SASA WEWE ULITAKA UWAPE NA PENATI IONEKANE WAZI REFA ANABEBA?
 
Naamini wewe utakuwa kati ya wale waliozimia,
1.Rafu ya Kessi ilistahili straight red card

2.Rafu ya Twite ilistahili yellow card

3.Rafu ya Banda kwa ngoma (ya pili ) ilistahili straight red card

4.Rafu ya Juma Abdul ilistahili yellow card (tackling ilikuwa 50/50)

Sheria za mpira ziko wazi ingawa kuna maamuzi mwamuzi ana nafasi ya kutoa adhabu au kuacha
 
Mechi imeshachezwa, mshindi alishapatikana na itabakia hivyo kwenye historia. Timu zinaendelea na maandilizi ya mechi zijazo na hatuna budi kukubaliana na maamuzi yaliyotokea.
 
Yaani jamaa wamefululiza miaka na miaka wanashinda, sijui walitaka iwe hivyo milele
kama wenzao wanacheza na mguu mmoja?
 
Back
Top Bottom