Yaliyojiri Mapokezi ya Waziri Mkuu wa Ethiopia uwanja wa ndege wa JNIA

Amekesha usiku kucha anakuja Dar kutoka Dom,alikoenda kufanya igizo lililoshindwa la kukusanya wanahabali,wakampiga pesa wakasepa,Leo hata Yale makaratasi yako ya Uhuru,Habari Leo,mzalendo yamempuuza.


acha bana hata magazeti yao vile vile hayajaandika, nimecheka sana
 
Good, kumbe taarifa iliyotolewa na Makonda ilikuwa ya ukweli!
Nilivyoona vyombo vya habari havijataja taarifa kutolewa na Makonda nikajua ilikuwa ni kick!
Huyu ni wa Ethiopia... wa Bashite anatoka Esiyopiya na anatarajiwa kufika saa 11 jioni.
 
Nina mashaka na marafiki wa kiongozi wanaokanyaga ardhi yetu kuna roho wanaachilia.Maana wote wanafanana tabia
 
Hili la mkataba wa kukabiliana na " wahamiaji haramu" upuuzi tu. Afrika moja sheria za uhamiaji ndio haramu.
 
Viongozi wanaotutembelea siku hizi wanatia shaka..wa Morocco.. Wa Uganda..tunajifunza nini kwao..??sijui huyu tutamuomba nini...???
 
Napenda kukusoma siku hizi kama zamani, kati hapa mhhh! sitii neno :). Endelea kuisimamia Tanzania na Watanzania. Huo ndiyo msimamo ambao Watanzania wote tunaohitaji kuwa nao bila kujali itikadi zetu. THUMB UP!

Yaani Bunge live lilizimwa,ila matukio ya kupokea watu tunaonyeshwa live.
 
Nimechek
Yan Marafiki wa Magufuli ni LIST OF SHAME...Madikteta watupu...Axis of Evil
1. Kagame
2. Nkurunzinza
3. Museveni
4. Mfalme Abdullah wa Morocco
5. Kabila
6. Haile Mariam
7. Erdogan wa Uturuki
8. Sassou Nguesso wa Congo-Brazaville
Nimecheka sana!!
 
Yan Marafiki wa Magufuli ni LIST OF SHAME...Madikteta watupu...Axis of Evil
1. Kagame
2. Nkurunzinza
3. Museveni
4. Mfalme Abdullah wa Morocco
5. Kabila
6. Haile Mariam
7. Erdogan wa Uturuki
8. Sassou Nguesso wa Congo-Brazaville
Duuuh wewe!!
 
Utawala huu wa awamu ya 5 una marafiki wa ajabu ajabu sana kwakweli. Hii ni dalili ya taifa letu kupoteza heshima duniani.

Hebu Fikiria rafiki wa nchi yetu ni 1.Paul Kagame aliyezika upinzani na kunyonga raia wake mara kwa mara. Dikteta na mlafi wa madaraka

2. Rais Museven Yoweri Kaguta, mlafi wa madaraka, dikteta na mwenye siasa za upendeleo hasa hasa kwa familia yake, asiyependa kukosolewa wala kuona wapinzani wakifanya siasa.

3. Joseph Kabila, mlafi wa madaraka, fisadi na dikteta.

4. Mfalme wa Morocco, mkoloni mweusi anayelitawala taifa la Sahara magharibi kimabavu.

5. Waziri mkuu wa Ethiopia, mtu jeuri na mwenye kuwatesa raia wake kisa madaraka hata kufikia hatua yakutangaza hali ya hatari nchini mwake.

Nchi ya kujifunza mambo mabaya kwa viongozi waliokataliwa ktk nchi zao, viongozi walioshindwa kuyaletea maendeleo mataifa yao ndio tunaowakumbatia?

Hakika hii nchi ingekuwa group la Whatsapp ningeleft usiku wa manane!
 
Yan Marafiki wa Magufuli ni LIST OF SHAME...Madikteta watupu...Axis of Evil
1. Kagame
2. Nkurunzinza
3. Museveni
4. Mfalme Abdullah wa Morocco
5. Kabila
6. Haile Mariam
7. Erdogan wa Uturuki
8. Sassou Nguesso wa Congo-Brazaville
Kwani wana shida gani hao.
 
Back
Top Bottom