Yaliyojiri Mapokezi ya Waziri Mkuu wa Ethiopia uwanja wa ndege wa JNIA

ZNM

JF-Expert Member
Dec 16, 2015
1,010
2,000
Good, kumbe taarifa iliyotolewa na Makonda ilikuwa ya ukweli!
Nilivyoona vyombo vya habari havijataja taarifa kutolewa na Makonda nikajua ilikuwa ni kick!
 
mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
6,819
2,000
Good, kumbe taarifa iliyotolewa na Makonda ilikuwa ya ukweli!
Nilivyoona vyombo vya habari havijataja taarifa kutolewa na Makonda nikajua ilikuwa ni kick!
Taarifa rasmi ilitolewa na wizara ya mambo ya nje. Vyombo vyote vya habari havijamtumia Bashite kama chanzo cha habari hii!
 
Top Bottom