Anonymeous
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 275
- 484
Molemo uko juu kwa kuhabarisha. Big up mkuu
Thobias maranduMarandu yupi mkuu
Tumelichukua tayari Kamanda
Eti Rais Mtarajiwa, Rais gani wa hovyo kiasi hicho. Rais ni Magufuli na watanzania wote watampigia kura za ndio ndg.Magufuli.Ni zamu ya Musoma leo.
Rais Mtarajiwa Tundu Lissu atatikisa viunga vya Musoma kwenye Mkutano wa Kampeni leo.
Ni Kama Musoma imesimama kwa ujio wa Shujaa huyu aliye gumzo Afrika na duniani kwa Sasa.
Lissu anayeungwa mkono na Makundi yote hususan wafanyabiashara na Wafanyakazi kote nchini ameapa kufuta Mara moja sheria Haramu iliyowekwa ya kupunguza Mafao ya wastaafu na kurudisha Mara moja Fao la Kujitoa.Serikali ya CCM ilipitishwa Sheria ya kikandamizaji kwamba mtu akiacha kazi ya kuajiriwa hata Kama ana miaka 30 sharti asubiri afikishe miaka 60 ndiyo apate haki yake ya Mafao.Shetia hiyo imelaaniwa na kila mpenda haki lakini serikali ya CCM imeweka Pamba masikioni.
Kwa tathmini iliyo wazi mpaka Sasa Lissu ana uwezekano wa kushinda kwa zaidi ya asilimia 60% Ngome pekee ya Mgombea wa CCM aliyokuwa anatamba nayo ilikuwa mkoa wa Geita hata hivyo Lissu ameiteka ngome hiyo wiki hii kwa kupata mapokezi yanayobaki historia vizazi na vizazi
Tutawaletea yatakayojiri
Yaliyojiri Mkutanoni
Kama ilivyotarajiwa Lissu amepata mapokezi makubwa sana mjini Musoma na kwa Hakika kwa Mara nyingine Rekodi ya Tanzania imevunjwa kwa mapokezi.
Akihutubia maelfu kwa maelfu ya watu wa Musoma Lissu aliyataka Majeshi yote kusimama upande wa Wananchi kulinda maamuzi yao na kamwe wasinyooshe silaha zao dhidi ya Rais kwa lengo la kulinda watu watakaotaka kuhujumu uchaguzi huu.
Tundu Lissu amedai kupata habari kwamba Rais Magufuli amewaita wasimamizi wote wa Uchaguzi wa wilaya zote Tanzania, Jijini Dodoma, Sasa Taarifa zimfikie uchaguzi huu hatutakubali uwaribiwe na hawa wasiokuwa na sifa tena.. Mahakama ya Kimataifa inawasubiria watu
View attachment 1581133View attachment 1581738View attachment 1581739View attachment 1581740View attachment 1581741View attachment 1581742
Mkiambiawa hamna sera wala maono mnakasirika, leteni video anazozungumzia sera tuzione hapa. Kwa staili hiyo CCM itaendelea kuwa imara muda wote. Mimi nitamchagua Magufuli, na Watanzania walio wengi wataungana na mimi kumchagua Magufuli pia.Ni zamu ya Musoma leo.
Rais Mtarajiwa Tundu Lissu atatikisa viunga vya Musoma kwenye Mkutano wa Kampeni leo.
Ni Kama Musoma imesimama kwa ujio wa Shujaa huyu aliye gumzo Afrika na duniani kwa Sasa.
Lissu anayeungwa mkono na Makundi yote hususan wafanyabiashara na Wafanyakazi kote nchini ameapa kufuta Mara moja sheria Haramu iliyowekwa ya kupunguza Mafao ya wastaafu na kurudisha Mara moja Fao la Kujitoa.Serikali ya CCM ilipitishwa Sheria ya kikandamizaji kwamba mtu akiacha kazi ya kuajiriwa hata Kama ana miaka 30 sharti asubiri afikishe miaka 60 ndiyo apate haki yake ya Mafao.Shetia hiyo imelaaniwa na kila mpenda haki lakini serikali ya CCM imeweka Pamba masikioni.
Kwa tathmini iliyo wazi mpaka Sasa Lissu ana uwezekano wa kushinda kwa zaidi ya asilimia 60% Ngome pekee ya Mgombea wa CCM aliyokuwa anatamba nayo ilikuwa mkoa wa Geita hata hivyo Lissu ameiteka ngome hiyo wiki hii kwa kupata mapokezi yanayobaki historia vizazi na vizazi
Tutawaletea yatakayojiri
Yaliyojiri Mkutanoni
Kama ilivyotarajiwa Lissu amepata mapokezi makubwa sana mjini Musoma na kwa Hakika kwa Mara nyingine Rekodi ya Tanzania imevunjwa kwa mapokezi.
Akihutubia maelfu kwa maelfu ya watu wa Musoma Lissu aliyataka Majeshi yote kusimama upande wa Wananchi kulinda maamuzi yao na kamwe wasinyooshe silaha zao dhidi ya Rais kwa lengo la kulinda watu watakaotaka kuhujumu uchaguzi huu.
Tundu Lissu amedai kupata habari kwamba Rais Magufuli amewaita wasimamizi wote wa Uchaguzi wa wilaya zote Tanzania, Jijini Dodoma, Sasa Taarifa zimfikie uchaguzi huu hatutakubali uwaribiwe na hawa wasiokuwa na sifa tena.. Mahakama ya Kimataifa inawasubiria watu
View attachment 1581133View attachment 1581738View attachment 1581739View attachment 1581740View attachment 1581741View attachment 1581742
Sasa unaingia Mkoa wa Mara.#sasa unaingia MusimA
Tumelichukua tayari Kamanda