- Thread starter
- #41
Tumelichukua tayari KamandaLissu lazima azungumzie usumbufu wanaopata wananchi kwa kila mara kubadilisha Passport na Driver's licenses kama njia ya serikali kujipatia fedha!!! Ubadilishaji huu ni aina ya kodi kwa wananchi; hakuna sababu ya duplication ya passport na viatambulisho lukuki vikiwemo leseni za udereva, kitambulisho cha Taifa na kadi ya mpiga kura!!! Serikali makini ingevijumuisha hivyo vyote kwenye kitambulisho kimoja hivyo kuokoa mabillioni ya fedha ambazo zingetumika katika shuhuri nyingine za maendeleo!!!